yaani naingia home tu ktoka mzigoni namuona Gervinho anatikisa nyavu.....Raaaaaaaaaaha sana.... inakuaje wadau??? Bila kusahau haterz ambao hamkauki katika hii thread mambo vp??? Pilika za maisha ni aje??? karibuni tuwe pamoja katika kupata burudani.....Hahahahahahahhhaaaa
You will if you keep popping on this thread all the time!
Excuse me sir, I 8-2 be associated with fat Arses.
mi nikajua tunadiskas game ya B'Burn..... haya bana,,,,.......
Gervinhooo katutoa.
<br />Excuse me sir, I 8-2 be associated with fat Arses.