Movement ya dakika ya 33 wakati harvets anakimbilia mpira kabla haijapulizwa filimbi ya off side na unaangalia final third ya liverpool hakuna mchezaji wetu.hii inakuambia hatuna mtu anayetembea na moves ciz hata kama harvets angepiga cross bado ingepita free