Arsenal (The Gunners) | Special Thread

hamis77 yupo Sana
Mjiandae kwa spana mjiandae kwa vibano
Maji mtaita mma
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa sasa Dunia ina uhaba wa world class coaches pamoja na World class goal scorer-waliobora katika top 5 ligi bora duniani sidhani kama wanazidi wa 5 (Janga sana hili)

World Class Coaches wapo na World Class Players wapo.

Issue no uendeshaji wa Timu

Unaweza kuwa na Best Coach kama Jürgen Klopp, Arteta, Simeone, Unai lakini ikakosa right Players kulingana na uwekezaji wa Timu linapokuja suala la kununua Wachezaji.

But unaweza kuwa na Owners wazuri wanaomwaga hela za kutosha kwa usajili lakini ukawa na wrong Coach kama Chelsea na Manure.

Hivyo Timu ikiwa na right Coach with owner ndiyo itafanikiwa ingawa na mara chache right Coach na right owner kukutana pamoja.
 

Mpaka sasa ni 0/12 game mbili zimeshapita yani 2/4 with zero point 😂😂😂
 
kwani Hamis yupo holiday? Tumekumbuka vitu kutoka kwake mambo ya intensity, high pressing , mid block, counter attack , false nine n. k. Mechi mbili tu zitunyime uhondo ajitokeze tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…