Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Maoni yangu ni haya na hayatendelea kubadilika kama die hard fans mnaamini Arsenal atabeba EPL or champions league trophy
under Arteta na kina Saka basi kutakuwa na tatizo la akili somewhere HAPPY NEW YEAR GUYS!

Umeanza kuishabikia Arsenal 2019?
 

Lakini huu sio muandiko wa PhD ya UK umekaa zaidi kama mwandiko wa SAUT na GPA ya 2.6 hivi.
 
Mwaka huu mapema tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • Screenshot_20231231_202905_Instagram.png
    525.3 KB · Views: 11
At some point injury zimefanya sajili zetu ziwe kama tume downgrade from last season

Hopefully tutajifunza kitu Kutoka kwenye hizi back to back defeats

Game ya leo hatukucreate enough chances, game iliyopita hatukua clinical enough
 
Pamoja na kwamba Rice anatimiza majukumu yake kwa kiasi defensively, ila bado tunamiss zile risk and aggressive/line breaking passes za Octopus Thomas Partey

Kuna waliokua wakisema Partey yuko aggressive sana hana utulivu kwenye kuchagua pasi zake, ila ukweli ni kwamba ile aggressiveness yake ndo ilikua inafanya forward line yetu iwe bora kwenye kuvunja mistari ya ulinzi ya timu pinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…