Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yule tembo mdogo mdogo kashaanza kushuka mtini. Hakuna hakimu bora kama muda. View attachment 2858003
Hivi ndivyo msimamo wa ligi ulivyo kwa sasa. Ila sio mbaya maana mnakaa meza moja na wakubwa.

Kafungwa Manchester, tabu tunapata sisi
Yaani leo hawa vijana wetu wafanye juu chini washinde hzi kelele na dharau zipungue hmu....Livakuku tuna mechi naye mbili nyumbani...ile nafasi pale juu anatakiwa aitapike....ila Man City asirudi pale juu...hzi mechi 2 naangalia wanavyocheza wale mabraza....wamepania
 
Kwani ni lini mmeshinda Anfield?
Ama draw ndiyo ushindi wenu?
Kama draw na liver ni ushindi kwenu basi timu yenu ni hopeless na kamwe haiwezi chukua kikombe chochote hata cha chai.
Kuimba kupokezana binti, weka akiba ya maneno
 
Kitendo Cha kumngangania partey na kutosajili kiungo mwingine kitatuacha na kilio na maumivu
 
Tunaotaka kombe siyo liver tu,
Wapo City,wapo Asv,wapo spurs pia

Sasa nyie endeleeni kusubiria tuchoke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…