Arsenal (The Gunners) | Special Thread

appetite ya kuliangalia chama langu arsenal imerudi kwa kasi!nikiangalia kikosi kilichoenda germany sioni sababu ya kutowatandika mambweha wa BD.....who laughs last,laughs longer!hii kwa haters wote waliokuwa wanachonga tulivyoanza!Gunners for life!!!!
 

Yeah....Gunners for life man...
 
Kila la kheri usiku wa leo wakuu, ushindi muhimu na ikiwezekana tupate clean sheet itatusaidia mechi ya marudiano nyumbani, ila hawa jamaa wa Borussia nimewaangalia mechi zao kama mbili wanaonekana machachari kidogo. Huyu dogo Mario Gotze na Mjepu Shinji Kagawa ni wa kuwa makini nao sana.
 

Mpira ni uwanjani na siyo kwenye computer
 
Haikua game nzuri kwetu....late equalizer left me unhappy.... But better a pt gained than.................!!! Go gooonerzzz...
 


Hongereni wakuu naona mmewaua BD!
 
Haikua game nzuri kwetu....late equalizer left me unhappy.... But better a pt gained than.................!!! Go gooonerzzz...
Vipi bado mna tatizo la kutokuhold your wins?
 
Tuna tatizo kubwa sana la ku-hold mpira. So far timu inahitaji improvement sana. Tumerudi nyuma kwa sasa. Beki inajitahidi sana kukaba sema mbele hatuko powa.
 
Mimi naona tatizo lenu ni kiungo, hawawezi kuhold mpira na ku-maintain possesion. Mbele van Persie yuko poa.
Tunamkosa mtu mwenye jicho la goli! Sijui tutamtegemea RVP mpaka lini!
 
Szczesny ni kipa mzuri, amewatoa sana leo....he's man of the match.
Poa tu Peasant, isiwe shaka, ukumbuke BD, sio wabaya ki hivyo, kuna bado ka hali ya hitstoria ya kivita vita na ushindani sana.
Mie naona draw ni poa tu.
 
Gervihnho was the worst man kwenye game ya leo! Sijui alikuwa anafanya nini uwanjani. Hajaweza kutoa complete pasi hata tano! Walcot naye bado!
Tunahitaji striker wa kusaidiana na RVP.
For me Song leo ndio alikuwa man of the match
 
Ila utani na unazi pembeni goli la Borussia Dortmund lilikuwa kiboko.
 
Gervihnho was the worst man kwenye game ya leo! Sijui alikuwa anafanya nini uwanjani. Hajaweza kutoa complete pasi hata tano! Walcot naye bado!
Tunahitaji striker wa kusaidiana na RVP.
For me Song leo ndio alikuwa man of the match

Mkuu noma sana. Nasubiri nione Park akijaribiwa. Walcott hana akili ya mpira ana struggle sana mie naona bora kumjaribu yule dogo Chamberlain sasa.

Kuhusu Gervinho noma nae, yuko slow na pasi zinamshinda.

Tunapoteza mipira hovyo hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…