Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta abadani can never ever atabeba EPL and Champions league
nakaataa NAKATAAA NAKATAA atacheza sext football
️ but kupata final results kama Guardiola hawezi yupo msimu wa 4 au 5 in a row but Arsenal ni ile ile refer alikaa 284 days number 1 na akashindwa beba EPL trophy
 
Mpira uko so unfair at times.
 

Attachments

  • Screenshot_20231229_010510_Google.jpg
    53.6 KB · Views: 12
Pumbavu sana wewe na mwenzio Hamis. Mmefahamu mpira kombe la dunia la 2018 na sasa mnajifanya wachambuzi.

Kaeni kimya msijaze ujinga kwenye hili jukwaa. Anzeni kusikiliza kaka zenu tunapoandika.

Nimeshabikia Arsenal tangu 1995 na mpira naujua. Hakuna timu ya kubeba hata karabao hapa.
 
Sahihi Mkuu, possession Football imebaki kwa Pep tu ndio inayomlipa kwa Makocha wengine ni Kujidanganya tu.
 
 
Kaeni kimya watoto mkiona kaka zenu tumeandika hapa jukwaani. Nimeangalia mpira tangu 1990, arsenal hatuna timu ya kubeba chochote.

Complete players ni wawili tu, Rice na Saliba. Wengine ni low to average squad players.
 
Nimeamini Arsenal kuchukua ubingwa ni ndoto rasmi nimeamka kutoka ndotoni
Mkuu ww hata kuota tu iyo ndoto ni kama unakosea heshima ndoto.

Arsenal hata wawe wanaongoza ligi kwa point 12 na zimebak game 6 tu ww jua ligo bado kwao kubeba haiwezekani.. Tunawaambiaga humu wanaona tunafanya utan.

Hawa wakiwa pale juu ww hata usiwe na hofu jua ti watashuka ni swala la Mda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…