D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Hakuna NILIPODANGANYA Wewe umesem kwamba MILISTANT alikuwa ni DIRECTOR OF FOOTBALL nasubiri hiyo sehemu inayoonyesha Hivyo!
EMERY Hajawahi kuwa na DOF Arsenal na ARTETA ameanza kuwa na DOF Msimu wake wa 3! EDU Hakupewa Maamzuzi Yote ya Kuwa DOF mpaka msimu 2022, Kabla alikuwa kama Mkurugenzi Masuala ya Ufundi.
Nataka Unitajie Mwalimu wa ARSENAL aliyemsajili SALIBA, MARTINELLI, Ni mwalimu Yupi. Na Ngoja Nikwambie Hakuna Scout anasajili Mchezaji hizo ni ripoti wanaleta tu.
EMERY ndo kamtengeneza Aliemtengeza ALBA, ISCO, ALCACER, PINO na wengine wengi na akiwa na Umri wa ARTETA alikuwa ni Bingwa wa Michuano ya Ulaya.
Unajaza Articles za Magazeti bila Kunambia MAFANIKIO ya Mwalimu wako ni yapi? Nje ya PEP na KLOPP hakuna anayefika mafanikio ya EMERY Kwa walimu wote walobaki. Michezo 78 yake alokuwa kama mwalimu wa ARSENAL na Michezo 78 ya ARTETA, kamzidi ARTETA kila Kitu. Kitu pekee ARTETA anachomzidi ni kuzuia kwa sababu alikuwa anacheza na Mabeki 5, Mfumo wa 3~4 ama 3~5 ni wa kuwa na walinzi 5.
Bado narudia unadanganya Tena Sana
Emery amefanya kazi na huyo huyo Edu na hawakuendana ,nimekupa takwimu unasema za magazeti
Majukumu ya Edu yalikuwa hayo hayo aliyofanya na Emery
Kwanza kubali umedanganya Emery hakuwasajili Saliba, Martinelli,hata Pepe
Nimekupa Hadi aliowasajili Ni Fransis Cagigao
Unasema Øde hapati namba Madrid hii ?
Unatumia ubongo kweli ?
Ødegaard alishakuwa flop Madrid ndio maana aliuzwa €30m kwasasa Hana tjaman hiyo ,nimekuwekea na Value ya transfermarket ,
Kwenye wachezaji 20 most valuable duniani Øde humkosi ,10 most valuable EPL humkosi
Midfield hii ya Madrid wanacheza Hadi kina Ceballos , thaman ya Øde sokon Ni €100m
Unadhani kwa kiwango alicho nacho Sasa Madrid wangekuuzia €30m?
Emery ndiye kocha wa ovyo kupita Arsenal
Emery anabaki kocha wa timu ndogo tu Kama alivyo Erik 7 hag
Arteta ndiye kamfanya saka kuwa moja ya RW Bora duniani , Martinelli moja ya LW Bora duniani
Ødegaard moja ya AM Bora duniani
Hata Declan Rice unayemuona anakiri game yake imekuwa developed under Arteta
William Saliba , Magalhaes,
Au unadhani hao wachezaji wa Arsenal wamekuja wakiwa vzr ,80% wamekuja wakawaida tu na wao wanakiri hivo ukitaka ushahidi nakupa
Emery Ni kocha wa timu ndogo, wachezaji wa PSG walimkataa , Wachezaji wa Arsenal akiwepo Ozil alisema kabisa EMERY sio kocha
Unasema mafanikio yake Ni kweli sababu hata kiumri Ni Rika la kina Pep ,klopp na ETH
EMERY kamfunga Pep kwa Mara ya kwanza ndani ya miaka 15
View attachment 2851845
Chini ya Arteta msimu wake wa mwanzo tumecheza sana back 3. Na sababu ni ile ya kwamba defense yetu ilikua ina sifa ya kua mbovu. Arteta ilibidi aadopt mfumo ambao utamsaidia kua compact kwenye defense.
Akaanza na back 3. Akaja na 4231. Akasema lengo ni 433 ila bado hana wachezaji wa hivyo.
Chini ya Emery tumecheza formation ya back 3 na 4231 ila Emery hakuonyesha kwanini tunacheza back 3 au baada ya sajili zake lengo ni timu iweje.
Saliba kaenda loans mbili. Moja ni hiyo ya mkataba ya pili ni Arteta ndiye aliamua aende.
Ikiwa Ode alikua proven Madrid isingekua na haja ya kumuachia. Muangalie Takefusa, zao la Madrid, alibatizwa jina the next Messi, leo yuko wapi baada ya loan spells zake?
Haujawahi ona kocha analetewa mchezaji proven ila mchezaji anaflop? Klopp aliletewa Carvalho. Barca walipelekewa Dembele na Coutinho. United walipelekewa Sanchez, Pogba, Antony, Di Maria, Maguire, Telles, Cavani n.k nini kikatokea?
Ni kama namaanisha hata kama mchezaji ni proven kama kocha hana uwezo ataua kipaji cha mchezaji. Arteta kafanya kazi nzuri kumaintain uwezo wa hao proven, kuimarisha uwezo wa walioonekana hawafai.
Kipindi kile Arteta alikua anashindanishwa na Lampard na Ole kuna kipindi walianza kumshindanisha na Erik. Mshindi hapa anajulikana.
Emery alijiweka wazi kwamba hajali kuhusu clean sheet ndiyo maana defense kwake haikua option. Kwa ligi ambayo Luton ananyima clean sheet top four wote kisha kwa Arsenal ile ya Emery ingechukua muda kidogo kua laughingstock wa ligi.
Kama nilivyosema Emery siyo mbaya. Ni mzuri kuliko Pochettino
Ukitaka mafanikio ya Arteta subiri afike umri wa Emery uwapime ,
Emery umri wake Ni Rika la kina ETH ,klopp na Pep
Cha kushangaza Sasa kamfunga Pep kwa Mara ya kwanza juzi ndan ya miaka 15
Unasema Arteta anamzidi Emery kuzuia ,una utani wewe
Arteta alitumia mfumo wa 3-4-3 kwa sababu wachezaji wale aliowakuta hawakuwa wanaendana na Falsafa yake ,na baada ya hapo aliingia kwenye 4-3-3 mpaka Leo hajawahi kubadilika
Arteta hajawahi kubebewa MABANGO na mashabiki Kama Emery ,sababu Arteta timu ilionesha ku progress kila siku
Wakati Emery timu ilikuwa inazama kadri siku zinavyoenda
Mashabiki walijaa uwanjani na UJUMBE usemao
NO TACTIC NO FORMATION
Ndio maana nakuambia hakuwahi kuwa na mfumo mmoja Kama upo utaje ,hakuwahi kuwa na first eleven Kama unaweza itaje
View attachment 2851852View attachment 2851853
Telegram ipoWapi nitapata ile documentary ya ARSENAL yote?
Kuna clip nimeiona juzi mitaa ya twitter ilinivutia sana na kunipa mzuka wa kuifuatilia full.
Arteta alikuwa anazungumza na jamaa fulani (nimegundua ni josh kroenke) nyakati ambazo mashabiki walikuwa wanataka kichwa chake (afukuzwe).
Kuna mambo mengi ya nyuma ya pazia huwa hatuyafahamu.
Respect kwake josh
na badoo! watendelea kuguswa hadi akili iwakae sawaYule jamaa wa Newcastle anakuja humu bado
Toka washangilie Ile dhuluma wanachezea vipigo non stop
Kwanini Joginho na siyo Smith Rowe?Mwanetu Kai Kawa silence
anaenda kukosa mechi dhidi ya westham ,ana kadi 5 za njano, roho zatuuma maana Kawa shubiri na sio tende
Dhidi ya Westham Kama Jorginho atakuwa fit ,
Kiungo kiwe
Rice- Jorginho-odegaard
Au
Trossard-Rice-Odegaard
Vieira bado injury hadi January
Nimewaangalia Westham Jana vs Manjesta, kwa ule Moto wa Emirates hawachomoki
Kwa sisi ambao hatukuangalia hii mechi, hapa ilikuaje?
Wapi nitapata ile documentary ya ARSENAL yote?
Kuna clip nimeiona juzi mitaa ya twitter ilinivutia sana na kunipa mzuka wa kuifuatilia full.
Arteta alikuwa anazungumza na jamaa fulani (nimegundua ni josh kroenke) nyakati ambazo mashabiki walikuwa wanataka kichwa chake (afukuzwe).
Kuna mambo mengi ya nyuma ya pazia huwa hatuyafahamu.
Respect kwake josh
Nilisahau Kaka,Kwanini Joginho na siyo Smith Rowe?
Huyu kiumbe kwenye ile Kiungo aiseee ni habari nyingine ni kama usajili mpyaaaaa yan tunaanza upyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaPartey and Tomiyasu all hoping to be back by the time Arsenal play Liverpool in FA Cup 3rd round on January 7.
Could be back sooner, with Partey - in particular - progressing well.
View attachment 2852502
Round ya 2 ,Kiungo chenye Partey na Rice ,tutaokota points nyingi sanaHuyu kiumbe kwenye ile Kiungo aiseee ni habari nyingine ni kama usajili mpyaaaaa yan tunaanza upyaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Partey si anaelekea Afcon hizo tarehePartey and Tomiyasu all hoping to be back by the time Arsenal play Liverpool in FA Cup 3rd round on January 7.
Could be back sooner, with Partey - in particular - progressing well.
View attachment 2852502
Hii picha ya lini mkuu...ni leo au maana kuna sehemu niliona habari kwmba Arteta kawaambia wachezaji leo wanatimba mazoezini...sikukuu ni jioni sio mchanaPartey and Tomiyasu all hoping to be back by the time Arsenal play Liverpool in FA Cup 3rd round on January 7.
Could be back sooner, with Partey - in particular - progressing well.
View attachment 2852502