Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Asenali wachezaji wamejitoa kweli leo ila VAR wamewanyonga liverpool,odegaard naona aliushika maksudi ule mpira😂😂😂,nafikiri arteta aliongelee na hili sio asubrii tunyongww ndio keleleee
 
Asenali wachezaji wamejitoa kweli leo ila VAR wamewanyonga liverpool,odegaard naona aliushika maksudi ule mpira😂😂😂,nafikiri arteta aliongelee na hili sio asubrii tunyongww ndio keleleee
Alikua anaanguka
 
Asenali wachezaji wamejitoa kweli leo ila VAR wamewanyonga liverpool,odegaard naona aliushika maksudi ule mpira
,nafikiri arteta aliongelee na hili sio asubrii tunyongww ndio keleleee
Pale aliteleza ndo maana muelekeo wa mwili wake ulienda tofauta ni Same na ile wachezaji na mashabiki vichaa wa Liver wanadai Saka kacheza rafu wakati kateleza na pia kacheza mpira kwenye ile tackle .
 
Asenali wachezaji wamejitoa kweli leo ila VAR wamewanyonga liverpool,odegaard naona aliushika maksudi ule mpira😂😂😂,nafikiri arteta aliongelee na hili sio asubrii tunyongww ndio keleleee
Mwili ulikua chini, at the same time mkono pia ulikua kwenye natural position (not outstretched).

No way that's gonna be a penalty.
 
Binafsi Kai bado kuna vitu muhimu anakosa
Kwa nn zinny asisogee into middle mazima as kukaba hawezi yule dogo tutamlaumu kila siku humu
This is because kuna mchezaji au wachezaji fulani, umewaweka pale, then unafanya comparison na anacholeta Kai.

Mimi binafsi, now Im enjoying Kai kama Kai bila kuanza kufikiria Xhaka au nani angefanya hivi pale.

Ni ile energy anayoleta kwenye timu. Kama anavyosema Arteta "If you ask him to go to war, he will be the first one down there... "
 
Nilikuwa nawaambia kitaa hapa, tunaanza kupazoea ANFIELD kama ilivyo OT. Next time tunaondoka na points zetu 3 kama zilivyo.

Klopp kelele peke yake hizijamsaidia leo, akawa analialia wapewe tuta au tupate red card.
 
Asenali wachezaji wamejitoa kweli leo ila VAR wamewanyonga liverpool,odegaard naona aliushika maksudi ule mpira
,nafikiri arteta aliongelee na hili sio asubrii tunyongww ndio keleleee
PGMOL wameelezea alikuwa anaanguka
 
Mechi zijazo ,tunatakiwa kutanua wigo wa points hapa hakuna kuremba

West Ham (H),

Fulham (A),

Palace (H) and

Nottingham Forrest (A)

This is the time to build some momentum, nothing short of 12/12 points here if we are serious

Lets get it
 
Yule jamaa wa Newcastle anakuja humu bado

Toka washangilie Ile dhuluma wanachezea vipigo non stop
 
Mmebebwa kondoo nyie, niotee nini? Hukuona mtu akiunawa ndani ya box?
Kubanwa ndo nn...tulikuwa tunacheza na timu ya pili kwa ubora kwa Sasa kwny ligi...unabisha kaangalie kwny msimamo🤠🤠🤠...halafu tumeenda kutoa lekcha pale kwao Anfield....bdo hawajaja Imarate tuwape course work kabisa....
 
Bado unatuonea huruma mkuu au🤠🤠🤠...sisi tumeshamaliza msala wetu pale Anfield....bdo kuja hapo kwenu kutoa elimu kwa kipara kwmba zama zinaanza kubadilika
 
Wale jamaa wa Newcastle wameukimbia Uzi wao

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…