Kai kuna vitu anakosa, na kwa nafasi yake ni vitu muhimu mnoo, kimoja wapo ni jicho la pasi, kuna matukio kama matatu hivi alitakiwa kupiga pasi moja tu ya madhara, akaturn na kupiga pasi ya kupossess badala ya kushambulia.