arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Sasahv Mkohoti atakuja kumponda Kai hapa 🤠🤠🤠....na hivi akiwa anafungafunga ndo kabisaaaa....hasira zitazidimkorea atakuambia zirushwe jezi...
Ode yupo. Wanabaki Kai, Partey na Rice, kwa sababu ya fitness ya Partey. Akianza Partey, Rice anaenda LCM au anakaa benchi anamuachia Kai aanze. Akianza Kai, Rice anakaa DM na Partey anasubiria bench. ILA Partey akiwa fully fit na form yake tunayoijua anaanza yeye DM na Rice anasogea LCM, Kai benchi ama namba 9 kule akiwachosha na kuwakera mabeki kwa kupress na kuwin aerial duels mpaka ndimi ziguse nyasi. Halafu Gabriel Jesus anaingia....
Mkorea hapo anakuambia "maji wataita mma"
Mkohoti alikuwa na hoja za kueleweka ila Kai anajitahidi siku hizi. Mpaka unaona watu wanapost humu kuwa wadiomkubali Kai wanafuata maneno ya Mkohoti (kama hawamuoni anavyocheza vile). Akiendelea zaidi Mkohoti atajikuta hana hoja tena bali ramli tupu.Sasahv Mkohoti atakuja kumponda Kai hapa 🤠🤠🤠....na hivi akiwa anafungafunga ndo kabisaaaa....hasira zitazidi
Kauli za Mkohoti ni ngumu kuzitenganisha na waganga wa jadiMkohoti alikuwa na hoja za kueleweka ila Kai anajitahidi siku hizi. Mpaka unaona watu wanapost humu kuwa wadiomkubali Kai wanafuata maneno ya Mkohoti (kama hawamuoni anavyocheza vile). Akiendelea zaidi Mkohoti atajikuta hana hoja tena bali ramli tupu.
Mkorea kwenye moja na mbili againFIMBO zitatembezwa kuanzia huko huko kwao
Wakija Emirates ndio mazishi, mtu anakula chuma 4 kiroho safi
Aisee kimetengenezwa kitu kizuri sana kwenye kikosi chetu, ukiumia tu una kazi ya ziada kurudi kikosini kwenye baadhi ya nafasimkorea atakuambia zirushwe jezi...
Ode yupo. Wanabaki Kai, Partey na Rice, kwa sababu ya fitness ya Partey. Akianza Partey, Rice anaenda LCM au anakaa benchi anamuachia Kai aanze. Akianza Kai, Rice anakaa DM na Partey anasubiria bench. ILA Partey akiwa fully fit na form yake tunayoijua anaanza yeye DM na Rice anasogea LCM, Kai benchi ama namba 9 kule akiwachosha na kuwakera mabeki kwa kupress na kuwin aerial duels mpaka ndimi ziguse nyasi. Halafu Gabriel Jesus anaingia....
Mkorea hapo anakuambia "maji wataita mma"
DSTV wamekosa soko sasa means walitegemea kuna big fixtures Round 16 but game zote zimekuwa za kawaida
Moja Kati ya beki wanaomtegemea, beki funga kazi pale Porto ni Pepe miaka 40Mkorea kwenye moja na mbili again
Arsenal ya hivi tumeitamani kwa muda ingawa bado hapo tunaona tunahitaji kuboresha zaidi na zaidi. Kila nafasi iwe na top top top quality (kama asemavyo Wenger). Ingawa upande mwingine ni vishida vuguvugu kama Ramsdale kununa kupitiliza kisa Raya amempiku.Aisee kimetengenezwa kitu kizuri sana kwenye kikosi chetu, ukiumia tu una kazi ya ziada kurudi kikosini kwenye baadhi ya nafasi
Pepe vs Jesus acha kabisa,Moja Kati ya beki wanaomtegemea, beki funga kazi pale Porto ni Pepe miaka 40
Sasa jamani wanatutakia Nini hawa?
Yaah ni ngumu hasa eneo la goalkeeper bora maeneo mengine inawezekanaArsenal ya hivi tumeitamani kwa muda ingawa bado hapo tunaona tunahitaji kuboresha zaidi na zaidi. Kila nafasi iwe na top top top quality (kama asemavyo Wenger). Ingawa upande mwingine ni vishida vuguvugu kama Ramsdale kununa kupitiliza kisa Raya amempiku.
Moja Kati ya beki wanaomtegemea, beki funga kazi pale Porto ni Pepe miaka 40
Sasa jamani wanatutakia Nini hawa?
Tutakuja tupige tuuwe, zianze lawamaHuyu Pepe alifaa akutane na Martinelli kule pembeni avutishwe pumzi ya moto ajue umuhimu wa kustaafu kwa wakati.
Tuache kwanza watoto wa town, LondonNyie watu nyie.....
Ile nakumbuka beki alikuwa sol campbell ndio karudi kumalizia soka lake..Aiseee. Mkuu umenikumbusha mbali sana. 2010 wakati tunacheza na F.C Porto kwao pale, kuna goli moja walitupiga la chaap chaap.
Sikumbuki kilitokea kitu gani, ila ilikuwa foul ndani ya box, wakati wachezaji wa Arsenal tunaongea na refa, mchezaji wa Porto akapiga freekick haraka haraka kumpasia Falcao watakupiga kamba, matokeo ikawa Porto 2-1 Arsenal.
Next game wakaja maghetoni, Emirates, wakala 5 freshiiiii kabisaaaaaaaa
unakumbuka goli la samir nasri?Ile nakumbuka beki alikuwa sol campbell ndio karudi kumalizia soka lake..
Kike kitendo kinatokea akili ikamjia anafanya maamuzi tayari wenzie wamemuwahi, nakumbuka mpaka jezi zetu msimu huo.