Mjusi_kafir
JF-Expert Member
- Dec 4, 2023
- 296
- 513
Partey uyoooooooooo kosi litapangajwa na kai ndo uyoo anauwasha moto saivKai kufunga ni kutaka kwake, angalia sehemu anazokaa, anapokimbilia akiongeza tamaa kidogo atafunga sana.
Kwa sasahivi anafanya kazi kubwa timu isipokuwa na mpira kuliko ikiwa nayo, anaweza kufikisha 15 au zaidi naona.
Nipo sana upande wa Copenhagen. Siyo kwa sababu ya mpira, bali huku kwetu kwenye taaluma ya design, Copenhagen na Denmark kwa ujumla inaumuhimu sana kuanzia urban design, architecture, mpaka furniture design. Nitakuwa na designers wenzangu kwenye hiki kinyang'anyiro.
Mimi nilitamani tupewe psg au intermilanArsenal angepangwa na timu yeyote iliyopita round hii basi Arsenal angepita.
So far mpinzani wa Arsenal UCL ni mmoja tu, City basi.. Hao wengine sijui Madrid, Bayern, PSG usiwataje!
Dj waleteJurrien Timber is targeting a return to training in late January and is aiming to play a significant role in the UCL knock out stages, per source.
FIMBO zitatembezwa kuanzia huko huko kwao
Punguza punguza hamis 77. Tunajenga pamoja critically.Ukiona nakukera unakausha sio lazima ukoment
Kama ulitaka niseme tunaenda kupigwa ,wasubiri Flano na genge lake watakuja sio muda
mkorea atakuambia zirushwe jezi...Partey uyoooooooooo kosi litapangajwa na kai ndo uyoo anauwasha moto saiv
hamis77 anakuambia artetaliban ball is comingmkorea atakuambia zirushwe jezi...
Ode yupo. Wanabaki Kai, Partey na Rice, kwa sababu ya fitness ya Partey. Akianza Partey, Rice anaenda LCM au anakaa benchi anamuachia Kai aanze. Akianza Kai, Rice anakaa DM na Partey anasubiria bench. ILA Partey akiwa fully fit na form yake tunayoijua anaanza yeye DM na Rice anasogea LCM, Kai benchi ama namba 9 kule akiwachosha na kuwakera mabeki kwa kupress na kuwin aerial duels mpaka ndimi ziguse nyasi. Halafu Gabriel Jesus anaingia....
Mkorea hapo anakuambia "maji wataita mma"
Nyie watu nyie.....