Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arshavin anakera mpaka basi......Hata sijui kwa nini AW anmuanzisha...
 
Walcott ana akili ndogo sana ya mpira, mbio ndio zinamsaidia.


Jmaa naona nao wanakaba wote inabidi tufanye mambo mapema hapa.
 
Big up Balantanda,kwa ushabiki wa mpira, sio kwa timuza TZ tu, ila kwa kwa timu bora duniani! Now its official, nguli Peasant ni mshabiki wa Arsenal, maana anakesha humu!
 
Tumekoswakoswa mara mbili hapa......Bado tuna tatizo kwenye kiungo....

Mapengo ya Wilshere na Song yanaonekana dhahiri
 
Walcott ana akili ndogo sana ya mpira, mbio ndio zinamsaidia.


Jmaa naona nao wanakaba wote inabidi tufanye mambo mapema hapa.
Bora umeongea ukweli,lakini naamini still Walcott anaweza akafanya vizuri cha msingi aingie gym ajenge mwili then Wenger amchezeshe kama Striker hasicheze pembeni
 
Arshavin Kafunga, ni kama kapewa na kipa wa Swansea...
 
Huyu kipa ataumia sana kwa kusababisha goli la kijinga kama hili.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…