Watuombe msamaha sasa kama mwaka jana kuku wale....maana hilo ndo wanalolijuaKwenye ushahidi pia kijana wetu Joe Willock kasema mpira Ni kweli ulitoka nje
Once Gunner always GunnerView attachment 2842639
Grupu jepesi Sana lile , PSG,AC MILAN wapo hoi bin taaban, BVB kule Bundesliga wanajipigia tu
Halafu mtu anakwambia eti kundi la kifo
UCL timu nyingi zimebaki majina
Naungana na zege la nyasi ,Mikel aongeze beki wa Kati mwenye uwezo wakucheza pemben na kiungo mmoja anayeweza kucheza LCM na DM, mrefu pande la mtu
UCL Kama nilivyosema ,timu nyingi Ni dhaifu
Sarri kocha wa Lazio kasema yeye anataka mterezo na kaomba mapema apewe Barcelona
Lazio manager Maurizio Sarri:
“I’d like to face Barcelona at UCL round of 16, honestly”.
Ninachoomba Mancity wanitolee ,Hawa wengine watanieleza vzr
Why mancity ,sipend kucheza na timu inayotaka na yenyewe imiliki mpira ,mechi mbili za mwaka huu zote zimeenda Kama 50/50
Lakini Hawa wengine watake wasitake watapakishwa basi kilazima
TUKUTANE WEMBLEY MWEZI MAY
View attachment 2842380
Yeah,Ukitazama hapo unaona Arsenal ina superior goal difference (12) kuzidi team zote kwenye hatua ya makundi kwa msimu wa 2023/2024.
Pamoja na kutokuwa na natural striker tumefunga magoli 16, magoli mawili pungufu kwa City mwenye goal 18. Tumeruhusu magoli 4 tu katika mechi 6 huku mawili yakitokea against Lens kwenye mechi moja.
Pamoja na injuries za defence unit (Partey na Jurrien) bado team inaonesha kuwa na good balance when it comes to attacking and defence.
Binafsi naamini huyu shabiki wa Newcastle ndio yule computerarsenal, na huyu inaonekana ni shabiki wa Man united, anachofanya ni kuvuruga hali ya hewa humu kwani inamfanya ajisikie raha, ndio maana anatafuta kila namna ya kuikosoa arsenal, hii inamfanya ajisikie vizuri sababu kuukubali ukweli arsenal inafanya vizuri ni maumivu makali kwa shabiki yoyote wa manunu.
Huyu alishasema Leicester city na Brendan Rodgers ni bora kuliko Arsenal na Arteta, kuna kipindi kachafua sana server humu kwa hoja za Conte na Spurs dhidi yetu, leo jahazi limezama anatafuta unafuu kupitia Newcastle na Eddie howe kesho ataleta hoja za Aston villa na Unai, kesho kutwa tujiandae kwa fujo za RDZ na brighton yote ni kutafuta unafuu.
Conclusion
Huyu Jamaa apuuzwe, ni mpumbafu.
Kaanza mazoezi hujaona video yake kapost wakala wakeYeah,
Partey akirudi sasa, daaah
Sarri ameacha kuvuta fegi, anavuta Cha Arusha sasaHizo historia ,hazichezi ,ingekuwa hivo Barcelona last season asingeenda Europa ,msimu huu wenyewe ilibaki kidogo wampeleke Europa
Hilo kundi unalosema Gumu ,AC Milan kaenda Europa ,BVB ndiye kavuka
Hilo kundi Newcastle alikuwa kilaza tu ,
Timu ilijizatiti haishindw kupita hilo kundi,
Huu ujinga wakucheza na historia ndio umemponza manjesta wamemshikisha mkia kund Lina Copenhagen na Galatasaray ambayo imeokota wachezaji reject
PSG hata kwenye Ligi yake wanamkimbiza Sana, BVB Hana makali hayo ,BVB alichofanya kwenye Hilo kundi kamtumia Newcastle Kama ngazi kakomba points 6 ,kaokoteza na kwa wengine akafuzu mapema , ila sio kwamba BVB Ni Bora Sana
PSG , AC MILAN,Barcelona zimebaki majina tu
Maurizio Sarri kasema anaomba apewe Barcelona awahi robo fainal, wewe unatuambia habari za historia
Sarri ameacha kuvuta fegi, anavuta Cha Arusha sasa
Acha kuchekesha watu mzee, kwamba 'mbinu za makocha zinaishia group stages!' kwahiyo Villareal ya Emery ilikuwa na wachezaji bora kuliko Bayern?
Nasikia sikia tu kuwa partey the mniga analiwa na mamba is backKaanza mazoezi hujaona video yake kapost wakala wake
Huyu game na Liverpool atakuwepoThomas Partey has stepped up his personal training and he's likely to return to full training with the team soon.
[source: @samuel_zigah]-wakala wa Partey View attachment 2842688
Haya mmeshaanza kuota angalia usiyamwage kitandani, hivi mnafikiri Arteta anao uwezo wa kuwafikisha popote?Ila Arsenal tukiwa serious fainali hii hapo.
Logically hii inamaanisha ni kweli kuna makosaBREAKING NEWS
Arteta ameshinda kesi vs FA kuhusu ile mechi ya Newcastle
Mikel Arteta no charge for comments made after Newcastle game