Arsenal hata akitangulia kwa point 20, usimbetie kuchukua ubingwa hadi December/January ikipita.nafurahi kuona baadhi mnaanza kuelewa maneno tunayosema , nilisema kwa sasa hatuwezi kuelewana lakini mpaka kufika may tutakuwa tumeelewana vizuriii kabisa.
Hatuna bench la kushtua so waliopo wasifanye drama
Kidogo kidogo tu mwisho wa siku mtakubali wote humu kua Labyrinth 84 sio adui yenu bali ni mtu anaependa kuwaambia tu ukweli wa hali ya mambo ulivyo ndani ya Arsenyau, ingawa wengi humu hawapendi kusikia ukweli bali wanapenda kusikia zile story za matumaini hewa toka kwa ndugu yangu Masingeli.Again and again, ni false hope kutegemea arsenal abebe kombe lolote kubwa.
Timu iko soft sana na inatabirika.
YalipumzikaAcheze mpira Vila na kushinda dhidi ya City halafu sifa wanampa Arteta kwamba kawafikisha kileleni hopers hawa!
Halfu wakataka kujiaminisha wao ni bora kuliko city kuwa wanamkanda Villa,yako wapi?
Kwamba wamevuka expectations zao maana walikuwa hawajaanza ligi lakini wamejikuta wanaongoza ligi.If you think of catching arsenal, that’s a daytime dream.
We don’t expect to drop points unless we are hit by injuries.
Hayo ni maneno ya mashabiki wa Arsenal kabla ya game
Yeah Villa have a strong bench
Kwa hiyo target ni kudominate na si kushinda na kubeba trophy au sio ?oya wamba.. arteta ni mtu na nusu.. kwa walioangalia mpira ;arsenal lazima iku dominate ata game iweje.. big up kwake.
Alisikika muhuni mmoja mchana akijipitisha mbele za mabingwa😂If you think of catching arsenal, that’s a daytime dream.
We don’t expect to drop points unless we are hit by injuries.
Hayo ni maneno ya mashabiki wa Arsenal kabla ya game
hamis77 ni mhuni sana yule jamaa. Siku wakishinda mechi anakuja na rekodi zake uchwara punde tu mpira ukiisha. Siku wakifungwa anaishiwa bando hadi hali ya hewa itulie ndio anakuja kupooza mamluki wake humu.
Tupeleke maoni yetu FA waandae na kombe la domination ili mwisho wa msimu walau na hawa ndugu zetu wawe wanaambulia hata kakombe ka kudominate.Kwa hiyo target ni kudominate na si kushinda na kubeba trophy au sio ?
HahaaaaaTupeleke maoni yetu FA waandae na kombe la domination ili mwisho wa msimu walau na hawa ndugu zetu wawe wanaambulia hata kakombe ka kudominate.
Mashabiki wa asenyeto humu wanakwambia UEFA champion league msimu huu hamna mbwa yoyote anayewatisha , hata Madrid mlete Tu watambonda vibaya na watabeba kombe la UCLTupeleke maoni yetu FA waandae na kombe la domination ili mwisho wa msimu walau na hawa ndugu zetu wawe wanaambulia hata kakombe ka kudominate.
Mashabiki wa asenyeto humu wanakwambia UEFA champion league msimu huu hamna mbwa yoyote anayewatisha , hata Madrid mlete Tu watambonda vibaya na watabeba kombe la UCL