Hamnamo team mule, ni wakamiaji kama ihefu tu, wakicheza na big team utawatakaCommentator kasema "Trippier has been Everton's best player in the second half".
Tuiombee Everton ushindi hapa maana kupokonywa points 10 siyo mchezo. Ukizingatia City hawajaadhibiwa vyovyote na hearing yao iko 2024 huko.
Rambo pale alipokua msimu ulioisha aliitaji muda na nafasi na jitihada kidogo sana aweze kua bora zaid ya msimu ulioisha,kwa usajili uliokua hautegemewi na watu wengi mara Raya huyu hapa na kwa picha iliyokuepo mashabiki wengi wa Arsenal tuligawanyika juu ya nani aanze hata umu tulikua pande mbili hadi leo hii wapo wanaoamin Rambo anafaa kua namba moja na wapo ambao hawaamini kwa Raya kua namba moja,Kuendesha timu ni kazi ngumu sana.
Ukiwa na wachezaji wazuri wengi, wanaokosa namba wanaleta shida na kutaka kuondoka. Ndoto ya kuwa na wachezaji wawili kila namba inakuwa ngumu. Ila pia ukishindwa kuwa na wachezaji angalau wawili kila number, utashindwa kuhimili ushindani.
Nilifurahi kuona tuna makipa wazuri wawili na nilitegemea uwepo wa 'mafahali wawili kwenye zizi moja' lakini sikutegema tutaanza kufikiria kupoteza mmoja wapo chini ya miezi 6 baadae. Je Ramsdale anajiona kama anastahili namba 1 kwa sababu katusaidia kurudi champions league na anatuona hatuna shukrani? Je anaona kama anastahili kucheza mbele ya Raya? Je anatafuta nafasi timu ya taifa so anahitaji gametime?
Kazi yao ni kuwasindikiza mabingwa.wasafiri wanaobeba masanduku halafu hawana tiketi wala nauli.
Kwa huu mfano uliowapea arsenyau unaitwa vivid example yaani hata wale raia wa mirembe lazima waelewe somo.
We kweli mpira utakuwa huutambui🤣Ww pumzi ya kufukuzana na sisi huna...alichotufanyia kipara mwaka jana ndo mwanzo na mwsho....sisi sio kama nyie kipara alikuwa anawageuza anavyotaka...huwa hatuna utaratibu wa kurudia kosa mara mbili...hzo ni Tabia zenu na kina Manunu na hao wengine
Wasamehewe😂Liver alipambana na kipara mpaka pumzi ya mwisho, mechi ya mwisho ndio ikaamua mshindi tena kwa tofauti ya point 1.
Nyie Arsenyau mliongoza ligi kwa siku 258, zimebaki mechi 8 ligi kuisha nyie mlikua mbele kwa points 8 dhidi ya City, mechi 1 kabla ligi haijaisha Arsenyau yuko nyuma kwa points 8 dhidi ya City.
Halafu shabiki la Nyau linatembea kifua mbele na kuwacheka liverpool na kutamba kua "sisi sio kama nyie kipara alikua anawageuza anavyotaka" sasa hapo kipara alikua anamgeuza nani anavyotaka? View attachment 2836286
Wasamehewe
Kuna mashabiki wa arse8 wamevamia msimu huu baada ya kuongoza ligi.
Kuna mwingine Jana anategemea eti manyumbu mtufunge liver,ili wao arse8 waendelee kubaki juu
Yaani ana matumaini ambayo hata ten hag na genge lake la wahuni akina Rashidi Mpemba hawana.
hawa ni wazee wa false hopes, hawana tofauti na wale waumini walioenda airport wakitaka kwenda kuhubiri neno la Mungu kwa watu wa mataifa haliyakua hawana nauli, passport wala viza.
Yaani hadi msemeMikel Arteta has conceded that the debate over the Arsenal No1 position could be affecting David Raya after being at his two errors vs Luton.
But he said the Spaniard has been “impressive” since joining and will continue to receive love and support.View attachment 2836431
Kushindwa ni kushindwa tu mkuu🤠🤠...halafu sisi ni mara moja sio kama nyny....misimu almost mitatu anawageuza anavyotaka na hapo mna utatu mkali Pale mbele...Salah..ostadh Mane na Bobby Firmino...halafu ndo mje mtutambie sasahv🤠🤠🤠...nyny bdo sana na ligi itaisha mwezi wa Tano bingwa akiwa either Arsenal au kipara akiotea tena...sio nyny kuku wa mdondoWe kweli mpira utakuwa huutambui🤣
Angalia kipara alitushinda kwa points ngapi,angalia na za kwenu halafu urudi urekebishe ulichokiandika
Sijui hata kama unaelewa ulichoandika😆
Yaani Mtu unayesema mara moja tu kombe unajua hata mara ya mwisho timu yako ilichukua lini? 😂Kushindwa ni kushindwa tu mkuu🤠🤠...halafu sisi ni mara moja sio kama nyny....misimu almost mitatu anawageuza anavyotaka na hapo mna utatu mkali Pale mbele...Salah..ostadh Mane na Bobby Firmino...halafu ndo mje mtutambie sasahv🤠🤠🤠...nyny bdo sana na ligi itaisha mwezi wa Tano bingwa akiwa either Arsenal au kipara akiotea tena...sio nyny kuku wa mdondo
Kasaka hakajui hata ushindi wa anfield unafananiajeTakehiro Tomiyasu:
"Saka makes my life easier. Against Wolves I didn't do anything, just gave him the ball and then he made it. Training against him is a nightmare. Not only him, at right fullback I play against Martinelli.
Obviously he's one of the best wingers." [Talksport]View attachment 2836415
Hukuona namna mlimpa sanduku city au wewe haukuwepo msimu jana😂Sasa mfano wa masanduku si unawafaa nyie? Ngoja February ifike tutakuwa tumeshaelewana.
Sikumbuki mkuu...nyny mmechukua lini mara ya mwsho kwani🤠🤠Yaani Mtu unayesema mara moja tu kombe unajua hata mara ya mwisho timu yako ilichukua lini? 😂
Kama hukumbuki pole sanaSikumbuki mkuu...nyny mmechukua lini mara ya mwsho kwani
Sababu ni Manchester United ni kubwa kuliko arsenalHivi hzi tuzo za mchezaji Bora na kocha Bora wa mwezi kwa EPL huwa zinapatikanaje...mchakato wake ukoje yaani....kwli kabisa Magwaya na baba Ubaya miksa bichwa lenye mabonde 7 hag wanashinda tuzo hii mbele ya makocha timamu wte kwa lipi walilolifanya🤠🤠🤠🤠