Huwa anasema pia "maji wataita mma". Ila hawa Luton acha tu tuwapige aisee tujionezee vipointi na vigoli kidoo tuboreshe GD yetu.mkorea anasemaga matokeo ni mawili tu, ama Arsenal ashinde au Luton afungwe na vijana wakitaka tupishane dhahma itawakuta.
mkorea anasemaga matokeo ni mawili tu, ama Arsenal ashinde au Luton afungwe na vijana wakitaka tupishane dhahma itawakuta.
Shida ni kuchelewesha sub bila ulazima, mfano tumeshashinda why Saka aendelee kucheza baada ya dakika 70? Rotation ni muhimu sana yasijemkuta ya Gavi au PedriMy worry ni kwamba Arteta anaweza kuanzisha timu B to spare the first 11 players for weekend game.
Vyovyote atakavyo amua, ashinde tu. Analysis ya Arsenal.com inasema hatujawafunga hawa Luton kwa katika mechi 10 tulizofika pale. Of course hiyo ni zamani mno, last time tumekutana nao ni 1980s huko. Wengine huku walikuwa hata bado hawajazaliwa. Ila cha muhimu zaidi ni Luton walianza vibaya msimu ila wamekuwa wakiimarika game hadi game. Waliwasumbua Liverpool sana tu na wangewalaza wale kuku na viatu isingekuwa late equaliser. Mimi ninachotaka ni ushindi tu.My worry ni kwamba Arteta anaweza kuanzisha timu B to spare the first 11 players for weekend game.
Mkuu Mimi Sina wasiwasi na artetalibanMy worry ni kwamba Arteta anaweza kuanzisha timu B to spare the first 11 players for weekend game.
My worry ni kwamba Arteta anaweza kuanzisha timu B to spare the first 11 players for weekend game.
The gafferKuna hii "artetaliban" amei-troduce hamis77
Mashambulizi ya milipuko Kama tupo Gaza
Hii itawaumiza Sana nyumbu, Kenge, punda, shit
HENRY14 zitto junior gspain verifaidi yuza Castr
Flano ARV Kakumamoto Intelligent businessman
Montserrat MalcolM XII arsenal2004 DullyJr
makaveli10 Ulimakafu martyr101 computerarsenal
Mimi naona game Kama hizi nelson aanze, namaanisha saka or martinel mmoja apumzikeKwa kweli hapaswi kutoipa hii mechi umuhimu, kama tunautaka ubingwa yafaa kila mechi ipewe umuhimu ule ule. Rotation? Of course ni muhimu, lakini si weak lineup.
Hizi mechi kama unataka kufanya rotation nadhani ni vema ikaanza strong lineup then tukipata margin kubwa ya magoli mapema ndipo unapumzisha key players.
Sikufurahishwa na last match vs Wolves, tumepata magoli mawili mapema lakini tunashindwa kuongeza margin mwisho tunamaliza game kwa pressure 2-1 na hii imejirudia several times.
Hizi ni mechi tunapaswa kuzitumia kuongeza GD, kuepuka injury na kutengeneza ‘fear factor’ kwa kupata comfortable win mapema ili kuondoa pressure ya game kwa mwalimu na wachezaji.
Game ya Villa tunaanza na Zinny tunamaliza na Tommy hakuna mabadilikoNiliona jana kwny press yake Arteta...bora apumzike...ile mechi ya Villa ule upande wa Zinchenko kuna yule Diaby na sub yake nayo ni winger msumbufu....hyo mechi atafaa Tomiyasu
Hapo ndipo pep anampiga gape kubwa sana Arteta, kuna game Grealish aanzia mkeka na Anamuamini Doku tena game nyingi tu ila Arteta bado sana kwenye ayo maamuziMimi naona game Kama hizi nelson aanze, namaanisha saka or martinel mmoja apumzike
Kiwior nae aanze
Position zingine zibaki vile vile
Kama tunapata Ushindi, nketiah nae aingie mapema tu
Naona kama hili suala litakuwa gumu msimu huu. Natamani iwe hivyo ila vile vidroo na kina Tottenham, Fulham, chelkenge...kama tukiendelea kupoteza points kizembe kama tulivyozoea, itakuwa ngumu kufikia hilo lengo.Target kwa msimu huu ni kufika points hizi katika ligi
View attachment 2834170
Inawezekana tusifikie lengo, ila tukiwa na uhakika wa point 90 tunabeba ligiNaona kama hili suala litakuwa gumu msimu huu. Natamani iwe hivyo ila vile vidroo na kina Tottenham, Fulham, chelkenge...kama tukiendelea kupoteza points kizembe kama tulivyozoea, itakuwa ngumu kufikia hilo lengo.
Wakubeba ligi muwe ninyi ?Inawezekana tusifikie lengo, ila tukiwa na uhakika wa point 90 tunabeba ligi
Mkuu uwe unawapa moyo. Hiyo kauli ni ya kikatili sana. Si unajua wanaongoza kwa kujitundika hawa jamaa.Wakubeba ligi muwe ninyi ?
Si unaona wenzako tunavyoenda naoBasi mkuu, nisamehe sana. Nimekosea, sitorudia tena kupost kwamba hamna UCL hata moja.
Nyinyi ndo mabingwa wa UCL na EPL 23/24.