Sisi tunaangalia mpira...atakayefungwa atajijua mwnyeweManyumbu yanapakishwa basi
Asante sana ndugu, ngoja nilifanyie kazi hili suala taratibu nikiwa nmetuliaMkuu, Jf ni user generated content forums. Ukiruhusu watu kufuta account maana yake unaweza fika mahali ukakuta forums zote hazina content sababu unapofuta account automatically unaondoa contents zote zilizowahi kuwa posted na account husika.
Ndiyo maana hata ukirudi kwenye posts zako za nyuma ukaanza tu kuzifuta just for any reason utakutana na ban toka kwa mods.
Ukisoma Jf terms and conditions kuna sehemu inasema;
“You are granting us with a non-exclusive, permanent, irrevocable, unlimited license to use, publish, or re-publish your Content in connection with the Service. You retain copyright over the Content.
We respect your right to be forgotten, but at the moment we DO NOT accept account closure or deletion requests. Think before you open an account or share content on the public domain”, mwisho wa kunukuu
Kuhusu issue ya kubadili email nadhani ni simple, log in kwenye hiyo old account kisha bonyeza avatar yako then change email. Hapa utaondoa hiyo email na kuingiza nyingine hata kama siyo email inayotumika ilimradi iwe na proper email format eg: mjusi_kafiri@gmail.com.
Kisha utafanya hivo hivo kwenye hii account yako ya Mjusi_kafiri na kuweka hiyo email unayoitaka, nadhani kiasi itakuwa imekusaidia, all the best.
Kwahiyo mmekimbia? Hamrudi baadaye?Natabiri hili jukwaa leo litakimbiwa.
Ova
Ungejibu muda nimecomment ingependeza mkuu. Kuja baada ya vita ni uoga.Kwahiyo mmekimbia? Hamrudi baadaye?
Ateta anabidi kusajili kiungo mwingine chuma kama rice ili ordergad akaekati atafute tisa WA kutisha apo atakuwa katibu maana pale saiv race ikihumia ,au saka NI majangaTunaongoza ligi lakini bado hatupo kwenye kile kiwango chetu
Odegard na saka wanaanza kurudi kwenye Ile form zao
Partey bado yupo kitandani
Timber Hadi January
Mechi zenye ugumu kwetu zinajulikana...mnapiga ramli kwny vitu ambavyo haviwezekani kabisa....timu tutakazosumbuana nazo ni 3...Liverkuku, Man City na Brighton maana Wana waalimu wazuri....haya makinda mengine ni kupita na kuokota points tu🤠🤠🤠....nashangaa sana mnavyokujaga kutujazia nzi hmu tukicheza na kina Brentford sijui kina Wolves....j4 karibuni tena tuna jambo letu na Luton TownUngejibu muda nimecomment ingependeza mkuu. Kuja baada ya vita ni uoga.
Zinny akomae, huyu dogo anarudi JanuaryJurrien Timber:
"I'm feeling good. Progressing well. Recovering well.
It won't be whole season, I hope. I'm making a good progress."
"I see them (Arsenal players) every day on the training ground. I basically turn at same time as them. Makes it easier, boys are fun. It's a young squad.
I stay connected to them."
View attachment 2832132