Arsenal (The Gunners) | Special Thread

| Mikel Arteta on Ben White’s fitness ahead of the Lens game:

“He trained the day before the Brentford game, and he was feeling good.

“I think he’ll be available. That’s very good news for us.”
 
Unamjua vizuri rosicky mzee baba, umemuelezea vizuri sana, Binafsi nilikuwa naenjoy kumuangalia na nikiona kapangwa basi naamini mechi tunashinda.
 
Ndio kiazi cha kina hatem ben arfa, alikuwa anaujua, ila nae ni jeuri pia.


Kwenye ubora wake nilitamani itokee siku acheze arsenal.
Riyad Mahrez alikuwa na nidhamu kidogo, sijui tulimkosaje huyu dogo pamoja na Kante, nasikia mzee aliwahitaji toka wapo ufaransa ligi za chini sasa sijui ilikuaje akaghairi. Dingi wenger kwenye suala la talent identification nadhani hata Pep anachukua notse.
 
Dogo anapush Sana kurudi as soon as possible
 
Hapo world class players walikuwa:
Per
Koscielny
Rosisky
Giroud
Ramsey alikuwa na siku na siku so is Walcot
Ramsey alikuwa na potential ila alivyovunjika mguu akashuka kiwango, baadae akawa inconsistent kama unavyosema, uwezo ukaja kurudi mwishoni miaka miwili kabla hajaenda Juve, alikuwa anaubonda mwingi tukawa tunamtegemea. Wenger alimvumilia sana Ramsey.
 
Kuna taarifa nasikia kocha wetu mstaafu Emery ndio kocha anayepiga mpira mwingi EPL, kwamba wachezaji wakitoka kwenye mechi wanapewa CD wakaangalie afu tutakutana mazoezini, jamaa ana mbwembwe na itakuwa kapania sana hiyo siku tutayoenda pale Villa park
 
Mzee Wenger ni bingwa kwenye suala hilo, kjna uzembe bodi ya arsenal ilikuwa inafanya, wenger vipaji vingi saana alikuwa wa kwanza kuona, ilifika hatua wenger akipoint watu watamtolea macho huyo mchezaji.

Bodi ilinichekesha kwenye kumpoteza ashley cole kwa nyongeza kidunchu saana ya mshahara, kisha kwenye dili la Suarez, nasoma ile habari niliinamisha kichwa chini, nikajichekea mwenyewe. 😂🤣
 
Yes. Solution ni kupata watu wazuri wakupokezana nao mipira na kusonga. Quick pass and move ukishawavuta mabeki. Na hiki kinatakiwa kifanyike na timu nzima, yaani mwendo wa tiki taka kama ile Barcelona ya Xavi, Messi, lniesta. Naona Arteta labda bado hajaweza kuwafundisha timu nzima hiyo mbinu ya kukwepa kukabwa au hajapata wachezaji sahihi maana sioni urahisi wa style hiyo kama uwanjani una Martinelli anayependa takeons na kukimbia sana, Nketiah naona hawezi takeons na hawazi quick combinations haraka yeye anawaza kushoot. Rice nae anapenda kukokota ila akifika final third anawaza kugawa mali na kubaki nje ya box. Siyo mtu wa kupiga one two nje ya box na kusprint ndani mpira umkute kwenye touchline au ajikute 1v1 na kipa. Kai na Jorginho wanaprocess matukio taratibu mno na wanamove taratibu pia na ndiyo maana pass zao nyingi ni za safety kuliko kutengeneza hatari kwa mpinzani. Ukiwa na hawa wote kwa wakati mmoja utatengeneza chances chache na utazungusha mpira sana nje ya box la mpinza (ulishagundua low blocks zimeongezeka ) na wakati mwingine kurudi hadi kwa kipa wako mwenyewe ukitegea mpinzani afunguke either kwa kuchelewa kurudi kwenye mfumo wait wakitoka au beki mmoja kupoteza umakini.
Smith-Rowe, Vieira, Partey na Trossard wanaweza hili zaidi ya kina Rice ila msimu huu hatujawapata sana
 
Mimi sijapenda vile wachezaji wetu watatu wote wamerundikana sehemu moja na kumpa Saka option moja tu ya cross. Hapo angekuwa mmoja katikati ya hao wanna waliopo mbele ya Saka, Odegard anarudi tu ndani kidogo na kugeukia golf, inapigwa 'rondo' au sambusa moja tu yaani Saka anampasia huyo na huyo anampasia Odegaard ambaye anakuwa anaelekea golini sasa kushoot au kupiga low cross kwa simple tap-in.
 
Arsenal are top of the table with Injuries and still proving doubters wrong!

List of #Arsenal players missed games this season

1 Martin Ødegaard 3 Games
2 Bukayo Saka 1 Game
3 Thomas Partey 11 Games
4 Emile Smith Rowe 5 Games
5 Mohamed Elneny 6 Games
6 Jurrien Timber 18 Games
7 Gabriel Jesus 10 Games
8 Gabriel Martinelli 6 Games
9 Zinchenko 2 Games
10 Eddie Nketiah 1 Game
11 Ben White 1 game
12 Declan Rice 1 game
13 Leandro Trossard 2 game
14 Now Fabio Vieira
 
Naona bench la wauguzi Wana mpush zaidi partey ili arudi mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…