True kabisa ,angalia sajili zao hapa,asilimia kubwa Ni sajili za mihemko ,na kukomoana Fulani asimpateKambi ishaahidiwa mapesa ya kutosha na tajiri miluzi ndo maana...waafrika njaa inatusumbua sana na yy akisema acheki mzigo wa watu wanaomtegemea kuna asilimia kubwa akaona Bora aende kuvuta mavumba ya kutosha huku na mawakala nao wakilamba dau nono...mm binafsi bidding war na Chelsea siitaki maana wao hawatumii akili...wanaenda tu...papai la 2000 wanaweza kulinunua kwa 20000....hawana akili kabisa
Yah anakuja kucheza LCM, mancity nao wanamtaka wamrudishe ,Nimeangalia jana mechi ya Spurs vs Villa, ukweli ni kwamba Douglas Luiz ni lcm material, tunamtaka Luiz kucheza Lcm na sio #6. He fits the bill. Kwenye double pivot yeye na Camara, Luiz anakuwa kushoto and he does it all. Jamaa anajua ball.
Mechi ya Villa na Liverpool tunahitaji kujishikilia, sema uzuri Anfield tunaenda na Declan Rice, He's not a momentum player like Thomas Partey. Huyu mnyama hata upige kelele paka koo likukauke moto wake hauzimi.Arsenal’s next five games in PL.
• Wolves (H)
• Luton Town (A)
• Aston Villa (A)
• Brighton (H)
• Liverpool (A)
How many points do you think we can get out of 15 points?
For me 13/15 ikiwezena 15/15 kabisa
Naamini pia kuna game atacheza DM kutokana na mahitaji, napenda wachezaji wanaojiexpose kama Luiz, kwenye build up yeye anautaka mpira wala haogopi pressure.Yah anakuja kucheza LCM, mancity nao wanamtaka wamrudishe ,
Ana quality pia yakucheza DM ,
Villa Sina hofu nao ,Jana Spurs kashindwa mwenyewe kuwamaliza, Villa bado wabovu kwenye highlineMechi ya Villa na Liverpool tunahitaji kujishikilia, sema uzuri Anfield tunaenda na Declan Rice, He's not a momentum player like Thomas Partey. Huyu mnyama hata upige kelele paka koo likukauke moto wake hauzimi.
yaani Arsenal wameahidi kufa nae wanamleta EmiratesNaamini pia kuna game atacheza DM kutokana na mahitaji, napenda wachezaji wanaojiexpose kama Luiz, kwenye build up yeye anautaka mpira wala haogopi pressure.
Yaah! Partey akiwa fit + Rice na Odegaard tunaweza kufanya jambo, japo ukweli ni kwamba Anfield na Old trafford huwa ni viwanja vigumu sana kwetu.Villa Sina hofu nao ,Jana Spurs kashindwa mwenyewe kuwamaliza, Villa bado wabovu kwenye highline
Anfield nakuahidi tunaenda kushinda safari hii, ile miiko yote tumekuwa tunaivunja ,Last season hatukutulia tu
Liverpool Hana Midfield ya kutisha ,wapo lethal Sana ,kinachowabeba Wana striking force nzuri
Nimeona hata against City, muda mwingi walikuwa wanawekwa nyuma
Mungu saidia hiyo mechi partey anakuwa kapona ,
Yaani kiungo ya Rice Partey ØdegaardYaah! Partey akiwa fit + Rice na Odegaard tunaweza kufanya jambo, japo ukweli ni kwamba Anfield na Old trafford huwa ni viwanja vigumu sana kwetu.
Hata wenzie akina Mosalah huwa wanakabwa na timu nzima na hawalii liiWanakabwa na mabeki watatu watatu
Salah sasa hivi anakaa kwenye box tu ,Juzi kapigwa Pini na Ake ,Hata wenzie akina Mosalah huwa wanakabwa na timu nzima na hawalii lii
Aache kulialia.
Timu yangu nipo muda wote toka msimu Jana tulioflopHahahaha.............mwaka huu una mzuka sana na timu yako, sijui ile partnership ya akina Salah ndiyo inakupa kiburi 🤪
Hiyo ya Arsenal utaipata, nipe namba ya nyumba au ya Balozi wa nyumba 10
Karibu mitaa ya Emirates kwenye mpira mzuri 💪
Amechoka kukabwa huyo SakaSalah sasa hivi anakaa kwenye box tu ,Juzi kapigwa Pini na Ake ,
Kumbe upo vizuri Mkuu, pamoja na liver kutaka kushuka daraja mwaka jana lakini bado ulikuwa nyuma yake 🤗Timu yangu nipo muda wote toka msimu Jana tulioflop
Hadi sasa tunanyanyuka tupo nyuma ya timu.
Wewe taja location
Kuna jamaa humu anauza nyuzi
Tumtafute huyo,akupe lipa namba...ulipie halafu mm nikachukue hzi wangu wa arse8 kiroho safi
Jaribu 1xbetWhere can I get the betting company with total goals bands