Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mikel Arteta is now willing to let Thomas Partey leave the club in January.

Juventus are keen, however the interest from Saudi Arabia appears more attractive for Arsenal who don’t want to let the midfielder leave on the cheap.

The Arsenal boss also wants a replacement in before Partey is sold.

It means kwamba Douglas Luiz ndo watalazimisha kumnunua au...navyojua itakuwa ngumu...Mr Goodebening tulivyomtoa mkuku klabuni kwetu lazima aweke plug kwny hlo Dili....labda mapesa yawe mengi kwlikwli
 
Waliokua wanazungumziwa:
Douglas Luiz, Zubimendi, Fofana, Neves

Partey akitoka Basi Kuna mtu lazima aje

Binafsi ningependa Zubimendi atue
 
Fofana mtu sana. Ila wangemuacha TP na pancha zake tumalizie nae msimu.
Means tuna-bet Sasa, Tena zile options ngumu ngumu. Wanaziita ngumu kumeza

Napenda abaki lakini Soma Tena hapo juu

Au partey apunguziwe games na asifanye Sana mazoezi, Kama majerui haya ya Sasa ameyapata mazoezini
 
Kama hela nzuri auzwe tu...anawategea sana wenzake...ametu cost tyri....sisi sio wa kusumbuliwa na Chelkenge siku ile Wala kusumbuliwa na Nyukesto...hya yte ni mapengo ya kutokuwepo kwake
 
Kama hela nzuri auzwe tu...anawategea sana wenzake...ametu cost tyri....sisi sio wa kusumbuliwa na Chelkenge siku ile Wala kusumbuliwa na Nyukesto...hya yte ni mapengo ya kutokuwepo kwake
Upo sahihi 100%

Game na spurs joginho katuua, kwa reckless turn. Sababu partey hayupo

Kenge walipata ujasiri wa battle pale midfield. Kisa partey hayupo
 
Upo sahihi 100%

Game na spurs joginho katuua, kwa reckless turn. Sababu partey hayupo

Kenge walipata ujasiri wa battle pale midfield. Kisa partey hayupo
Hao watakaokuja hatuna uhakika 100% kuwa watafanya vyema kama yeye, ndo umuhimu wa yeye kuwepo na pancha zake angalau tuwe na lile tumaini japo kidogo.
 
Hao watakaokuja hatuna uhakika 100% kuwa watafanya vyema kama yeye, ndo umuhimu wa yeye kuwepo na pancha zake angalau tuwe na lile tumaini japo kidogo.
Quality ya kwanza ya mchezaji muhimu kwny kikosi ni availability yake...ukiwa available mara kwa mara utapata game time ya kutosha na kuna asilimia kubwa utatoa Kila ambacho kinatarajiwa kwa sababu unapata uzoefu ukiwa unacheza mara kwa mara.....Sasa Partey ni mchezaji muhimu ila anatu cost kwa pancha zake....mifano ya mechi alizo tucost nimeitoa....unakaa kujiuliza ikitokea siku Rice naye kaumia si ndo mnarudi hatua 10 nyuma....aende aje mwingine atakayekuwa injury free....Partey majeruhi yake is too much aisee
 
️Bukayo Saka sasa anashika nafasi ya tatu kwa thamani ya uhamisho wa wachezaji katika soka duniani, kulingana na CIES Football.

Winga wa Arsenal yuko nyuma ya Vinicius Junior pekee wa Real Madrid na Erling Haaland wa @Manchester_City.

Hisa za Bukayo zinaendelea kupanda...

Arsenal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…