Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Mbona msimu uliopita nilikuwepo huku kuwasupportNaona sasa Liverkuku wamerudi kundini umepata ujasiri ya kuja huku kwa genuine challengers
Ila kweli tulipata zali la mentali tukaharibu wenyewe. Sasa nafasi imepotea ama inekuwa ngumu maradufu.Mbona msimu uliopita nilikuwepo huku kuwasupport
Na niliwaombea sana mbebe ubingwa mtoe gundu..sikutaka kabisa wale majini washinde tena
Ndio basi tena mkalewa sifa mapema 😂
Gundu FC😂😂😂😂Ila kweli tulipata zali la mentali tukaharibu wenyewe. Sasa nafasi imepotea ama inekuwa ngumu maradufu.
Tunazuga kama siyo ishu ila ndani tunaumia sana. Ubingwa ulikuwa nje nje tunaouna ingawa kiuhalisia hatukutegemea kukimbiza vile. Nahisi tulikuwa Bado tunashangaa Ile situation tukaamua turudie maisha tuliyoyazoea.Gundu FC😂😂😂😂
Mkaridhika.
Tuliwaambia kazeni miguu
Kipara akishahamia juu hatoki😂
Mkajiona tayari mabingwa🤣
Apewe nafasi tu, jamaa alicheza kwetu kwa mapenzi na alikuwa ni fundi kweli kweli.
Msimu huu karibuMbona msimu uliopita nilikuwepo huku kuwasupport
Na niliwaombea sana mbebe ubingwa mtoe gundu..sikutaka kabisa wale majini washinde tena
Ndio basi tena mkalewa sifa mapema
Hii inafanywaje?Apewe nafasi tu, jamaa alicheza kwetu kwa mapenzi na alikuwa ni fundi kweli kweli.
Apewe heshima yake.
Yah, kama free agent.Hii inafanywaje?
January anasajiliwa kama free agent kama ilivyokua kwa Henry?
Msimu huu ni wa kwetu Mkuu.Msimu huu karibu
I will be there madame Anne ,no matter whatMsimu huu ni wa kwetu Mkuu.
Karibuni sana mje kushangilia.
Injury tu ilimrudisha nyuma.Apewe nafasi tu, jamaa alicheza kwetu kwa mapenzi na alikuwa ni fundi kweli kweli.
Apewe heshima yake.
Ana miaka mingapi sahivi?
Game 1-1 hiyo afu tunakaa juu na hatushuki