Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Timu yetu ya wanawake msimu huu inasua sua kwenye kupata matokeo nimekua nikifatilia game zetu yani tuna tatizp la kuruhusu magoli mapema sana..
 
Man City with Robot Haaland

Team goals = 32

Liverpool with Sensational Salah

Team goals = 27

Arsenal without a proper striker

Team goals = 26

Once we get this issue sorted, IT’S OVER
 
ARSENAL ZOTE NI TISHIO!

Timu ya wanawake ya Arsenal ilifanikiwa kuifunga Leicester City katika Women's Super League(WSL);

Leicester walitangulia kufunga magoli mawili mpaka HT, ila Arsenal Women wakarudi kwa magoli sita.

Na kupanda hadi nafasi ya pili kwenye ligi hiyo!
 
Aende tu unai kwa kipengele chenye masilahi na asenali pia maana kwa ninavyoiona asenali ya sasa emil hatoboi kwenye kikosi cha kwanza
Anatoboa vzr tu, mchawi injury tu

Alirudi hapa juz akaonesha uwezo mzuri na akatengeneza magoli mawili ,

Akawa ameshaanza kutaka namba ,gafla kaumia ,after international break anarudi
 
Anatoboa vzr tu, mchawi injury tu

Alirudi hapa juz akaonesha uwezo mzuri na akatengeneza magoli mawili ,

Akawa ameshaanza kutaka namba ,gafla kaumia ,after international break anarudi
After International break nadhani Odegaard, Jesus na Benny Blanco White watakuwa wamerudi...kama na Emile naye atakuwa tyri itakuwa fresh...maana mechi hapo zitakuwa nyng sana....tuombee hii International break tusipate majeruhi yyte
 
Nyie kondoo hivi mna uwezo hata wa kumfunga City goli nne kweli? Au mpo hapa kudanganyana kuwa mna timu y kubeba ubingwa.
Rekebisha kufunga....sema mmefungana goli nne....halafu unachotambia hmu ndani ni nn wkti mmepata draw mechi zte kubwa Nyumbani kwenu...Liverpool, Arsenal, Man City...hzi jeuri zinatoka wapi🤠🤠🤠
 
Rekebisha kufunga....sema mmefungana goli nne....halafu unachotambia hmu ndani ni nn wkti mmepata draw mechi zte kubwa Nyumbani kwenu...Liverpool, Arsenal, Man City...hzi jeuri zinatoka wapi🤠🤠🤠
Mi nachojua tumefunga goli nne ila tumedroo, ndio nauliza kumfunga goli nne man city nyie mnaweza? Au ndio story zenu za kuovalod na duel win. Kondoo nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…