Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,385
Sasa hivi pimbi hawa wanajiita mabingwa wa UEFA na eplTukiwaambia hii timu yenu ni Milembe Fc hua mnakua wakali
Kocha yeyote mwenye red hachezi kama walivyocheza spurs.Red card kwa viera dk 83
Mnaosema Havertz kaimprove sijaona sehemu yoyote aliyoimprove.
Pamoja na kumlaumu Kai, ila anacheza na timu inapata ishindi sasa sijajua shida ni nini? Au Arsenal ilitakiwa ishinde 8 ila tatizo Kai??!!MalcolM ina maana hauoni Kai anavyowin Duel?
Co-workers wa Masingeli wenyewe hua wanamtetea Kai humu huku wanachekea tumboni, Kai ni kipenzi binafsi cha boss Masingeli, hivyo yoyote anaempondea Kai humu sisi machawa wa Masingeli tunamuhesabia ni mamluki.
#Arsenyo Ndoo
#Kai Balon D'or View attachment 2810874
Una shida gani na sisi kaka...ukishinda tabu ukifungwa tabu🤠🤠...tuache tupumue kidogoMalcolM ina maana hauoni Kai anavyowin Duel?
Co-workers wa Masingeli wenyewe hua wanamtetea Kai humu huku wanachekea tumboni, Kai ni kipenzi binafsi cha boss Masingeli, hivyo yoyote anaempondea Kai humu sisi machawa wa Masingeli tunamuhesabia ni mamluki.
#Arsenyo Ndoo
#Kai Balon D'or View attachment 2810874
Sasa hivi pimbi hawa wanajiita mabingwa wa UEFA na epl
Masingeli anakwambia Supakompyuta tayari imeshamtangaza mshindi wa Uefa, Epl na FA ni Arsenyau.
Hivyo Masingeli amewaambia mashabiki wa Arsenyo wasiwe na wasiwasi waanze tu kushangilia kabisa maana msimu huu wanabeba treble.
Masingeli muogope Mungu ndugu yangu, mwisho wa msimu hua unawakimbia wenzio humu. View attachment 2810881
Una shida gani na sisi kaka...ukishinda tabu ukifungwa tabu...tuache tupumue kidogo
Nyny mbona mnaamini mtamaliza top 4...kitu ambacho ni ndoto za mchanashida kubwa ni false hopes ndugu yangu, au wewe hujamsikia Masingeli anavyo waaminisha mashabiki humu waanze kabisa kushangilia makombe yao wakati ligi inaendelea?
Masingeli anakwambia SuperComputer tayari imeshawapea Arsenyo ushindi wa mezani wa CL, PL na FA.
Masingelea amewahakikishia watu humu kua msimu huu Arsenyo anachukua treble. View attachment 2810885
Tia Fofana, tia Zubimendi, tia Luiz, tia Toney, watakavyocheza kocha anajua
Castr i see you, najua unajua boliiiiiiiiiWolves wakiongeza willingness ya kushuti kazi wanaweza wakaimaliza. Spurs yupo hoi analazimishwa kurely kwenye counter
Top foo ni kitu kidogo sana kwa Man Utd.Nyny mbona mnaamini mtamaliza top 4...kitu ambacho ni ndoto za mchana