Kama kweli hii ni mentality ya kocha wetuMikel Arteta claims Kai Havertz has probably been Arsenal’s best player over the last three games against West Ham, Newcastle United and Sevilla.
The German looks to finally be finding his feet in North London. #afcView attachment 2809561
ESR ni asset nzuri majeraha yamemueka nje ila naamini sana kwenye ubora wake
Taaluma za watu ziheshimiweKama kweli hii ni mentality ya kocha wetu
Tumekwishaaaa
Ivi Pep anawezaje kuwa na quality player almost kikosi kizima???
️ Arteta on Havertz:
"I can tell you that I'm really pleased with the way he's performing".
“Looking at the numbers of what he's producing in front of goal, those have to be improved... but in many other areas of the pitch, what he gives to the team is really important".View attachment 2810492
Hamis unavyoipamba hii timu, inabidi ikitokea ajira ya uhamasishaji tufanye namna.
Yani kama Arsenal ina UEFA 7 kabatini.
Taaluma za watu ziheshimiwe
Tukikupa hata Majimaji unaweza kuifundisha hata mechi moja ikapata matokeo?
Je unaweza hata ku profile mchezaji ?
Tuheshimu taaluma za watu
Kama mchezaji humpemdi kausha
Yaani anavyoiongelea hii asenyeto as if ni the galactico flani hiviJamaa anafaa sana kuwa semaji la chama, yaani Masingeli misifa na mifalse hopes anayoitoa humu utafikiri Arsenyau ni timu ya maana yenye makombe kadhaa ya Uefa na Epl, Maskini ya Mungu kumbe timu yenyewe ni kwangu pakavu nitilie mchuzi.
Misifa yote anayoiweka humu ila Masingeli shida yake mwisho wa msimu hua analikimbia jukwaa na kuwaachia wenzie msala
Bayern, Barca na Madrid wana majina makubwa CL.Kilichomshinda last season Nini Hadi anakula 4-0 na total dominance Ni Nini
Msiishi kwa mazoea Sana , Ubora wa Madrid , Barcelona ,Bayern umepungua sana
Bora Bayern waliwahi mapema wakasajili a World class CF Harry Kane na Neur karudi ,Sasa hata Cleansheet wanapata
Bro mpira mchezo wa waziTaaluma za watu ziheshimiwe
Tukikupa hata Majimaji unaweza kuifundisha hata mechi moja ikapata matokeo?
Je unaweza hata ku profile mchezaji ?
Tuheshimu taaluma za watu
Kama mchezaji humpemdi kausha
Kaka kocha anatengeneza confidence ya mchezaji hapo.Kama kweli hii ni mentality ya kocha wetu
Tumekwishaaaa
Ivi Pep anawezaje kuwa na quality player almost kikosi kizima???
Wewe umenielewaBayern, Barca na Madrid wana majina makubwa CL.
Bayern na Madrid wanaweza wakakusurprise CL.
Barca kapotea kabisa CL.
Bayern wameanza kushinda bila clean sheet mara nyingi kuanzia msimu mmoja nyuma. Best LB wao wanamuuza, he is young na tunakumbuka alivyoifanya Barca.
Bayern namna yao ya kusajili imewafikisha hapo walipo.
Madrid kwa sasa akicheza na Arsenal halafu Arsenal akipaki basi nitashangaa. Wana mid nzuri ya Camavinga na Bellingham, wana talents nzuri ila hawana ST, Vini sifa zimemzidia, Tchouamen namuona siyo wa kutishia amani kiasi hicho.
Barca wote tumemshuhudia crisis yake.
Bayern na Madrid kwa zilipofikia zinaweza kufungwa na yeyote. Kwa Arsenal ya sasa sioni kwanini nione tunatakiwa kuhofia kukutana nazo, they have big names kwenye CL ila naamini Arsenal ana chance against them
Dadamlamayo wewe ni me au ke,?Acha UJINGA kama wa HAMIS77,Mpira ni mchezo wa makosa,wanaocheza ni Wanaume 11 wenye miguu sawa,acha kuwapa watu matumaini ya KICHOKO humu
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Mbona kaweka wazi hapo kwenye attacking anatakiwa ku improveKaka kocha anatengeneza confidence ya mchezaji hapo.
Kwani unadhani akiwa anamiss open chance au anapoteza mipira hamuoni?
Au anavyofanya upande wake usiwe lethal haoni?
Mfano juzi kocha wa nyukesto angesema timu yangu ni ya hovyo imeshambulia mara 2 mechi nzima ila ni vyema tumepata points 3 wachezaji wake wangejisikiaje?
Muangalie Erik alivyomuongelea Sancho, Ronaldo, De Gea na walipofikia
Wanachukia kabisa ,Watu wanashindwa kuelewa. Hizi takwimu za Opta hazipangwi na mtu au kikundi cha watu, ni AI ndio inahusika.
Sasa ukimwambia shabiki wa nyumbu kuwa Arsenal ni miongoni mwa timu zinazopewa nafasi kubwa ya kuchukua UEFA, wanakasirika!
Ukisema hivyo nakubali 100%Kaka kocha anatengeneza confidence ya mchezaji hapo.
Kwani unadhani akiwa anamiss open chance au anapoteza mipira hamuoni?
Au anavyofanya upande wake usiwe lethal haoni?
Mfano juzi kocha wa nyukesto angesema timu yangu ni ya hovyo imeshambulia mara 2 mechi nzima ila ni vyema tumepata points 3 wachezaji wake wangejisikiaje?
Muangalie Erik alivyomuongelea Sancho, Ronaldo, De Gea na walipofikia
Arsenal hawezi kupaki Basi kwa yeyote hapo ,Bayern, Barca na Madrid wana majina makubwa CL.
Bayern na Madrid wanaweza wakakusurprise CL.
Barca kapotea kabisa CL.
Bayern wameanza kushinda bila clean sheet mara nyingi kuanzia msimu mmoja nyuma. Best LB wao wanamuuza, he is young na tunakumbuka alivyoifanya Barca.
Bayern namna yao ya kusajili imewafikisha hapo walipo.
Madrid kwa sasa akicheza na Arsenal halafu Arsenal akipaki basi nitashangaa. Wana mid nzuri ya Camavinga na Bellingham, wana talents nzuri ila hawana ST, Vini sifa zimemzidia, Tchouamen namuona siyo wa kutishia amani kiasi hicho.
Barca wote tumemshuhudia crisis yake.
Bayern na Madrid kwa zilipofikia zinaweza kufungwa na yeyote. Kwa Arsenal ya sasa sioni kwanini nione tunatakiwa kuhofia kukutana nazo, they have big names kwenye CL ila naamini Arsenal ana chance against them
Haujajibu swali mkuupelekeni UCHOKO wako huko na CHOKO mwenzio HAMIS77,kazi kudanganya watu humu MACHOKO nyinyi,pelekeni UCHOKO wenu huko MASHOGA ninyi,wadanganyeni MACHOKO wenzenu huko na sio kwenye Jukwaa hili
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app