[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hamis na genge lake anakwambia Madrid mdebwedo TuKuna jamaa wanaongea kishenzi mpka wanakera,,sisi arsenal wa kawaida sana iyo hype sasa.....nketiah,harvertz cjui jesus...mziki na madrid dah,,,,,anyway lbda sababu mpira unadunda
Odegaard bdo yupo Wodini au na Nketiah naye vp....wanataka kuanza kula mishahara ya bure hawa watuMadrid ana mziki gani aisee
Madrid kwasasa Ni timu ya kawaida ,sijakulazimisha uniamini ila muda Ni rafiki
Vita ndogo ndogo hizi huwa nashinda ,najiamini ninachokisema
Haya ndo maneno sasa braza.[emoji599]MATCHDAY!
[emoji897] Arsenal v. Burnley
[emoji354]18:00 EAT
PL hakuna mechi ndogo, hapa tunatarajia mpira mzuri na point tatu kwa kishindo.
Come on Arsenal![emoji836]️[emoji837]
Utashangaa Nketiah kaanzaSaka Trossad martinel
. Rice. . Kai
Kuna mkono hapo[emoji115]
Nyie sijui mnaangalia mpira upi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hamis na genge lake anakwambia Madrid mdebwedo Tu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ndo maana nikasema Madrid imeundwa ku control chaos, na ndio maana ni mabingwa wa kihistoria UCL, yani cheza unavyocheza ila matokeo lazima yawe upande wao. Control sio possession tu bro, tena kwenye knockout anayepita ni yule anayecontrol hali yoyote ya mchezo bila kuangalia umiliki wa mpira, sasa unahisi Madrid hii hawawezi ku control game state dhidi yetu?Kuna mechi vs Braga kaangalie hiyo mechi
Ujue wengi mnatembea na jina tu Kama Barcelona
Braga alimdominate Madrid sehemu kubwa ya mchezo kabla Belligham hajafunga
Hata mechi na Barcelona ,the same
Halafu wanaruhusu Sana magoli
Angalau Bayern Munich ,Neur karejea ,wameanza kupata hata cleansheet
Martin Odegaard's absence and, before that, fitness struggles have impacted Arsenal's attack. Unlikely to play today, but full belief he will be back post international break. Issue picked up in training last Friday unrelated to hip injury.Odegaard bdo yupo Wodini au na Nketiah naye vp....wanataka kuanza kula mishahara ya bure hawa watu
Mwaka Jana ilikuwaje akala chuma 4 kwa City ?Ndo maana nikasema Madrid imeundwa ku control chaos, na ndio maana ni mabingwa wa kihistoria UCL, yani cheza unavyocheza ila matokeo lazima yawe upande wao. Control sio possession tu bro, tena kwenye knockout anayepita ni yule anayecontrol hali yoyote ya mchezo bila kuangalia umiliki wa mpira, sasa unahisi Madrid hii hawawezi ku control game state dhidi yetu?
Kilichomshinda last season Nini Hadi anakula 4-0 na total dominance Ni NiniNdo maana nikasema Madrid imeundwa ku control chaos, na ndio maana ni mabingwa wa kihistoria UCL, yani cheza unavyocheza ila matokeo lazima yawe upande wao. Control sio possession tu bro, tena kwenye knockout anayepita ni yule anayecontrol hali yoyote ya mchezo bila kuangalia umiliki wa mpira, sasa unahisi Madrid hii hawawezi ku control game state dhidi yetu?
Naipamba au naweka fact? Why usipingane na mm kwa fact?Hamis unavyoipamba hii timu, inabidi ikitokea ajira ya uhamasishaji tufanye namna.
Yani kama Arsenal ina UEFA 7 kabatini.
Hesabu za hapo ni ndogo sana, Luiz hawezi kucheza lone #6 akamzidi Rice, elite #6 ni wachache kuliko #8, yani kumtumia Rice kama #8 wakati ana potential ya kuwa the best #6 itw ni kitu hakimake sense.Kwanini kishindikane ,mbona Rice kila siku Arsenal anacheza LCM na DM ,Ni kocha anaamua Leo zima DM kesho zima LCM
Luiz anacheza Lone DM vzr Sana ,
Rice Ni long term DM ,but sitashangaa akija Luiz au Zubimendi ,bado akaendelea kucheza LCM maana anatoa A+
Luiz hawez kuzima LCM kwa ufasaha Kama Rice
Partey akiwa fit ,Rice anacheza LCM
Successor wa Partey Ni Luiz
Kinachofanya Rice acheze LCM Ni moja ya wachezaji wachache duniani anakupa A performance kwenye DM na LCM
hata umpeleke pale mancity itakulazimu umtumie Kama LCM ,
Rice anasema
“I think my best position is probably as a number 6. As a number 8 I do get a bit excited. My biggest strength is breaking up the play and taking the ball from deep. I do get excited when I play number 8 though. I get to show the other side of my game. I didn't stop running tonight(Vs Sevilla)!”
[TNT via BBC
Sipambi tu, yaani unataka kuifananisha arsenal na kina chelkenge au manjesta?Hamis unavyoipamba hii timu, inabidi ikitokea ajira ya uhamasishaji tufanye namna.
Yani kama Arsenal ina UEFA 7 kabatini.
Mbona unaongea Kama ugomvi, Kuna sehemu nimekwambia Rice ni natural 8?Hesabu za hapo ni ndogo sana, Luiz hawezi kucheza lone #6 akamzidi Rice, elite #6 ni wachache kuliko #8, yani kumtumia Rice kama #8 wakati ana potential ya kuwa the best #6 itw ni kitu hakimake sense.
City walitaka kumtumia kama #8 coz wana Rodrigo, na rice ni generational ambaye angeweza kuziba gap la De bruyne akiwa injury km Sasa, lakini hata City walimuona Rice kama #6 that's why walianza na Jude kama priority baada ya Jude kwenda Real Madrid ndio majeshi yakarudi kwa Rice, na hii ni baada ya kuona ana potential ya kuwa the best #8, hii inatosha kukuonesha Rice's best position ni #6, yeye mwenyewe umemnukuu amekiri hapo, anakuwa excited kucheza #8 lakini haimaanishi ndio his best position, kinachotokea sasa ni kwamba Arsenal haina top LCM kitu ambacho kina Affect our attacking dynamics, that's why Arteta analazimika kumtumia Rice as #8, na kauli ya kusema Arsenal wanamuona anapiga A+ kama #8 ni kauli ya hovyoo, usitake kuniambia Arteta alikuwa hajui kwamba Rice anaweza kucheza #8, wakati dunia inajua wazi kabisa Pep alimtaka Rice kwa position hiyo ya #8.
Walipoteza cuz the game conditions were unfavourable to them, not individual quality may be it was a tactical intent, na sio kwamba kila siku Ancellot will get it wrong, football ni elimu bro tuelimishane, hatugombani.Kilichomshinda last season Nini Hadi anakula 4-0 na total dominance Ni Nini
Msiishi kwa mazoea Sana , Ubora wa Madrid , Barcelona ,Bayern umepungua sana
Bora Bayern waliwahi mapema wakasajili a World class CF Harry Kane na Neur karudi ,Sasa hata Cleansheet wanapata