Hua naboreka kumpa mtu case studies.Newcastle ni westham yenye pesa kwa kuangalia muktadha upi ? Hizi game ulizokutana nazo ama?
Recently umecheza na hao westham na Newcastle kwani matokeo yalikuaje ?
Team inayoenda omega ndo imekufunga sasa sijui wewe utakuwa nani kama sio mwenda tezi na omo [emoji23][emoji23][emoji23] bora kuwa na homa ya vipindi kuliko kuwa na false hopes . Unaposema midtable team una maana gani mzee maana navyojua huko mid table hatupo toka mwaka jana na mpaka sasa.
Yote kwa yote View attachment 2809936
Hii picha ilipigwa after the game against Arsenal na itapigwa tena pale emirates au unabisha tena kama mwanzo kabla ya game?
Yaani kuna somtym jamaa anaingia jamii forums akiwa Ting'asi.Hamis unavuka mipaka mzee, kweli Madrid hawezi ku control mchezo mbele yetu ndani ya UCL?
Tunaweza Ku win possession lkn haimanishi Real hawezi ku control mechi, Real Madrid is built to control each game state( chaos) in this competion ( Tactical intent + individual quality), sisi kinachotupa kiburi ni kwamba tuna kocha mzuri lakini haimaanishi tunaweza ku dominate mechi tutakavyo, have some respect bro.
Hamis unavuka mipaka mzee, kweli Madrid hawezi ku control mchezo mbele yetu ndani ya UCL?
Tunaweza Ku win possession lkn haimanishi Real hawezi ku control mechi, Real Madrid is built to control each game state( chaos) in this competion ( Tactical intent + individual quality), sisi kinachotupa kiburi ni kwamba tuna kocha mzuri lakini haimaanishi tunaweza ku dominate mechi tutakavyo, have some respect bro.
Kuna mechi vs Braga kaangalie hiyo mechiHamis unavuka mipaka mzee, kweli Madrid hawezi ku control mchezo mbele yetu ndani ya UCL?
Tunaweza Ku win possession lkn haimanishi Real hawezi ku control mechi, Real Madrid is built to control each game state( chaos) in this competion ( Tactical intent + individual quality), sisi kinachotupa kiburi ni kwamba tuna kocha mzuri lakini haimaanishi tunaweza ku dominate mechi tutakavyo, have some respect bro.
Kama una timu mbovu utashughulikiwaHivi unaijua Real Madrid ya UEFA lakini we jamaa ?
Yaani Arsenal ninyi ndio wa kumvimbia Madrid UEFA ?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Tupo hapa ,mtaona kinachowakuta
Kwanini kishindikane ,mbona Rice kila siku Arsenal anacheza LCM na DM ,Ni kocha anaamua Leo zima DM kesho zima LCMLuiz ni LCM bro. kwa hiyo unaamini Luiz atacheza DM na Rice acheze LCM? Aje zubi, Luiz or whatever watacheza lcm tu. Kwa sasa huwezi kupata mchezaji anacheza DM kumzidi Declan Rice, hakuna, iko wazi.
Uwe unanitagUnaongelea consistency mbele ya Newcastle na unaifananisha na westbrom kweli ? Hio case study mbona ya magumashi kiasi icho.
Ngoja nikufundishe kidogo hapa kwenye 10 last game za Newcastle ni hizi
1:Newcastle vs man city 1:0 [emoji736]
2:Newcastle vs burnley 2:0[emoji736]
3:Newcastle vs PSG 4:1[emoji736]
4:westham vs Newcastle 2:2[emoji1666]
5:Newcastle vs crystal 4:0[emoji736]
6:Newcastle vs Dortmund 0:1 [emoji777]
7:wolves vs Newcastle 2:2 [emoji1666]
8:man utd vs Newcastle 0:3[emoji736]
9:Newcastle vs Arsenal 1:0
10: Dortmund vs Newcastle 2:0 [emoji777]
Twende kwa Arsenal
1:Brentford vs Arsenal 0:1 [emoji736]
2:Bournemouth vs Arsenal 0:4[emoji736]
3:Lens vs Arsenal 2:1 [emoji777]
4:Arsenal vs man city 1:0 [emoji736]
5:chelsea vs Arsenal 2:2[emoji1666]
6:sevilla vs Arsenal 1:2 [emoji736]
7:Arsenal vs Sheffield 5:0 [emoji736]
8:westham vs Arsenal 3:1 [emoji777]
9:Newcastle vs Arsenal 1:0 [emoji777]
10: Arsenal vs sevila 2:0 [emoji736]
Katika game 10 ume loss game 3 na Newcastle 2 sasa hizo midteam zilizomfunga Newcastle ni zipi?
Vipi uko nafasi ya ngapi kotekote huko🤠🤠🤠...hauitwi mtoto mdogo kwa kuonewa tu...ila ni namna mnavyojitutumua halafu output haieleweki...nimeshakwambia ndani ya michezo miwili ijayo utazidi kurudi huko chini kwa kina Fulham hukoUnaongelea consistency mbele ya Newcastle na unaifananisha na westbrom kweli ? Hio case study mbona ya magumashi kiasi icho.
Ngoja nikufundishe kidogo hapa kwenye 10 last game za Newcastle ni hizi
1:Newcastle vs man city 1:0 [emoji736]
2:Newcastle vs burnley 2:0[emoji736]
3:Newcastle vs PSG 4:1[emoji736]
4:westham vs Newcastle 2:2[emoji1666]
5:Newcastle vs crystal 4:0[emoji736]
6:Newcastle vs Dortmund 0:1 [emoji777]
7:wolves vs Newcastle 2:2 [emoji1666]
8:man utd vs Newcastle 0:3[emoji736]
9:Newcastle vs Arsenal 1:0
10: Dortmund vs Newcastle 2:0 [emoji777]
Twende kwa Arsenal
1:Brentford vs Arsenal 0:1 [emoji736]
2:Bournemouth vs Arsenal 0:4[emoji736]
3:Lens vs Arsenal 2:1 [emoji777]
4:Arsenal vs man city 1:0 [emoji736]
5:chelsea vs Arsenal 2:2[emoji1666]
6:sevilla vs Arsenal 1:2 [emoji736]
7:Arsenal vs Sheffield 5:0 [emoji736]
8:westham vs Arsenal 3:1 [emoji777]
9:Newcastle vs Arsenal 1:0 [emoji777]
10: Arsenal vs sevila 2:0 [emoji736]
Katika game 10 ume loss game 3 na Newcastle 2 sasa hizo midteam zilizomfunga Newcastle ni zipi?
Zinatakiwa goli za kutosha leo kuwezq kukaribia goal difference ya Man City...maana Wana jambo lao na Chelsea ya kina Mkohoti ambao wenyewe wanajiaminisha kwmba wanambutua kipara ngoto[emoji599]MATCHDAY!
[emoji897] Arsenal v. Burnley
[emoji354]18:00 EAT
PL hakuna mechi ndogo, hapa tunatarajia mpira mzuri na point tatu kwa kishindo.
Come on Arsenal![emoji836]️[emoji837]
Kuna jamaa wanaongea kishenzi mpka wanakera,,sisi arsenal wa kawaida sana iyo hype sasa.....nketiah,harvertz cjui jesus...mziki na madrid dah,,,,,anyway lbda sababu mpira unadundaHivi unaijua Real Madrid ya UEFA lakini we jamaa ?
Yaani Arsenal ninyi ndio wa kumvimbia Madrid UEFA ?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Tupo hapa ,mtaona kinachowakuta
Sasa mpira sio hivyo bro kusema GK flani, au Striker flani basi hii mechi tunashinda. Mi naona tunaweza kupata matokeo mazuri dhidi ya Bayern kuliko Real Madrid.Madrid labda wa mwaka Juzi, naangalia laliga kila siku ,
Hata last season tuliposema atadhalilishwa na mancity wengi walipinga Sana mpaka ilipotokea
Sijamaanisha tunaweza ku dominate tutakavyo Bali kwasasa Madrid sio ile Tena ,
Unaizungumzia Madrid ambayo GK kepa ,magoli anaaubiriwa Bellingham kaamkaje
Huo pia Ni mtizamo wako ,Sasa mpira sio hivyo bro kusema GK flani, au Striker flani basi hii mechi tunashinda. Mi naona tunaweza kupata matokeo mazuri dhidi ya Bayern kuliko Real Madrid.
Madrid ana mziki gani aiseeKuna jamaa wanaongea kishenzi mpka wanakera,,sisi arsenal wa kawaida sana iyo hype sasa.....nketiah,harvertz cjui jesus...mziki na madrid dah,,,,,anyway lbda sababu mpira unadunda