Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mashabiki wengi wana childish altitude; niliwahi kuingizwa kwenye mtego wa matusi, lakini nikagundua mapema nilikuwa na argue na mtoto, nikamuomba aniblock, kama nilivyo mblock
Pia sometyms stress, nilishapitiaga huo ujinga unakua na hasira muda wote. mtu anaweza akakukanyaga tu kidogo kwenye daladala hasira zote unamhamishia yeye, Stress mbaya sana. Huyo dada anahitaji msaada.
 
Mwana huu si ubaguzi kabisa bro. Halafu wewe ni mtu mweusi unajua (japo sina uhakika maana hatufahamiani).
Mzungu akifanya hivi tunakasirika leo hii tunafanyiana wenyewe kwa wenyewe. Waafrika hata hatujui tunataka nini.
Kwani hapo kuna jina la Saka? Kwanza huyo saka mwenyew alishatukataa waafrika, Ni muengereza huyo.
 
Sio kweli, Busquets Xavi iniesta wanatosha kuimaliza Newcastle first half tu, na hakuna kiungo mwenye nguvu utakavyo wewe.

Unapocheza na timu physical unahitaji kuwa technical sio utumie nguvu, ni kama kina Mudathir X pacome dhidi ya Kina Ngoma, yani game inaisha simple tu.
 
Sio kweli, timu zilizopo kwenye vitabu ni zile zilizocheza mpira mkubwa kuliko kushinda mataji, holland ya Johan cruyff inakumbukwa kuliko west Germany iliyochukua WC, Arrigo sachi milan, Pep's barca hata Brazil ya pele zinakumbukwa kwa mpira wa sanaa sio makombe.
 
Hahahahahaha hii komemti imenchekesha😅😅😅😂😂🤣🤣
 
Ngoja tuwape visu kabisa watoboane vizuri hawa washika manati wa london
Sikuwahi kujua kama arsenyau wanatukana hivi wakifungwa.
Tatizo Arteta amewaaminisha hili ni toleo la invicible nyingine ndio maana hawataki kukubali ukweli mapema.

Mjifunze toka majukwaa ya timu kubwa pindi zinapopoteza point:
Man utd wanatafuta mbuzi wa kafara miongoni mwa martial.anthony,rashford,eth,n.k wanamkosoa hata kama hawajui hasira zinapoa
Liverpool wakifungwa tu wanaongea english jukwaa zima ili kutupoteza maboya tusio wa kwa malkia
Sasa nyie siku mkifungwa mnageuza jukwaa klabu ya pombe za kienyeji.
Kueni ama elimikeni.
 
Ngoja tuwape visu kabisa watoboane vizuri hawa washika manati wa london
Asanteni sana mkuu kwa kazi nzuri mliyoifanya....sasa na weekend ijayo tunaomba mfanye kwa Guardiola mlichokifanya leo😀😀....Liverpool wameshalipiwa dhuluma yao...bdo sisi kwa wale Nyukesto lile goli la mchongo na mieleka ya Bruno...ipo siku tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…