Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Akili kubwa
Hapo hamna kocha...tunapeana matumaini ya kipumbavu sana....
Hua nikimuona nketiah,harvetz na georgino lazima game itunyee,,,,
 
No offense, he played really well today. Kuanzia kukaba, physical game.. Kweli tunaona improvement!
 
Ni maamuzi gani city walikuwa favoured?. Yaani nyie leo VAR kuwa against your wishes ndio kelele mmeonewa?
Mkuu sio kama city anakua favoured ila challengers wake ñdo wanakua wanafanyiwa hizi wrong decisions angalia Liverpool na arsenal
 
Hajaongelea kuhusu ile rafu mbaya ya KAI kwa Longstaf?
 
Na Kai hakutakiwa kuwa uwanjani kipindi cha ngapi?
 
Mkuu sio kama city anakua favoured ila challengers wake ñdo wanakua wanafanyiwa hizi wrong decisions angalia Liverpool na arsenal
Kwahyo wanafanyiwa ili kupunguzwa speed au?
Yaani game 11 useme kuna challenger wa ubingwa hapo mpk waanze kuwafelisha? Mmpoteza pengine kwa maamuzi ya bahati mbaya ambayo hata timu zingine inatokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…