Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta anakomaa na Havart kwasababu kapigwa pesa pale, ila Havart sio mchezaji wa kusaidia Arsenal au wa kucheza Arsenal
Ila watu bana yan mnacrem sana kama mtu umeangalia mpira vizuri leo ...Kai alikua na strength kubwa ...he was very physical, alikua anaminyana sana na advantage yake ya kua mrefu ikasaidia sabab Newcastle kwanzia kati kurudi nyuma ni warefu na wanaphyical kubwa...Kai Haverts leo amecheza mpira sana acheni kukariri ujinga... Watu mnakariri lakini uhalisia hamsemi...Saka kacheza vibaya leo, jorghinho nae kwa kweli ni mtihani bado naona gundu lake linaendelea akicheza arsenal inakua haishindi...all in all that WAS NOT A GOAL...mpira kwanza ulitoka ule na pia Gabriel amefanyiwa foul nmeshangaa sana lile goal limekubaliwa ...kuna agenda naamini sasa kua pep wanataka wampe Hili kombe tena ili aje England this is too much inakua bora hata ligi ya bongo ina afadhal sasa maana wanaanza kujirekebisha na what's the point of having the best league halafu referees hawako fair
 
Hii game hapana.

Nyukesto on target ni ile moja tu mpaka dakika ya 60+ ambayo ilikua wameangalia kama mpira umetoka, wameangalia kama ilikua offside na wameangalia ikiwa Gabriel alifanyiwa faulo.

Na vyote vikawa cleared.

Bruno hakutakiwa kua uwanjani tangu kipindi cha kwanza yellow inakuja kutolewa dk ya 80

Game ilikua ya kipuuzi kwaajili ya refa
 
Wajinga sana
 
Sijaelewa mkuu unaposema wanataka kumpa Pep kombe ili aje Uingereza...maana yake akafundishe timu ya taifa au
 
Arteta anakomaa na Havart kwasababu kapigwa pesa pale, ila Havart sio mchezaji wa kusaidia Arsenal au wa kucheza Arsenal
Hapo ndio uone connections zipo mpaka ulaya, yani mchezaji ambae hana uwezo yuko tayari kuvumiliwa na kucheza dakika zote 90 wakati kuna watu wanaoweza kucheza nafasi hiyo hiyo wakakupa kitu bora zaidi.

Kwani Arteta angesema ampe nafasi Trossard kucheza LCM badala ya Havertz kungekua na shida gani?

Unamuona kila siku Trossard anatokea sub kisha anakupa positives tu, malipo yake mechi inayofuata anapewa nafasi mtu mwengine.

Sawa Arteta unajaribu ku cover up your shit but si kwa dizaini hii.. Na sisi fans unatuchosha!
 
Watazoea taratibu

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
 

Some of VAR decisions are by guessing
 
Bwana acheni kumuandama huyu mchezaji hajacheza vibaya leo na arsenal haijacheza vibaya umeona mpira mwenywe au hujui mpira bro...from all people umeona kai ndo flop leo? Likes za saka, Ben white mbona hamsemi...kai ni part ya arsenal na naona ana improve game to game acheni hizo bana
 
Akili kubwa
Hapo hamna kocha...tunapeana matumaini ya kipumbavu sana....
Hua nikimuona nketiah,harvetz na georgino lazima game itunyee,,,,
 
No offense, he played really well today. Kuanzia kukaba, physical game.. Kweli tunaona improvement!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…