Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,385
Retired referee Callagher anasema Gabriel alifanyiwa faulu, but he is not sure kama mpira ulitoka nje wote
Sio kiuno tu, wakaze na makalio kabisa, japo siwaamini chelsea kabisa. 😂Cha msingi ni kuwaomba ndugu zetu Chelsea wakaze viuno J3 hata draw tu wapate kwa wale jamaa...itakuwa na nafuu kwetu kuliko Spurs akishinda
Kula 5 ni kiburi na ujuaji wa kijinga.Bado Arteta anaendeshwa na kiburi na ujuaji usio na tija,hii gemu ukiondoa goli la off side,bado kiungo kilikuwa ni mfu sana, West ham na Newcastle wamemuonyesha namna tofauti kocha anatakiwa kuutizama mpira. Bado arsenal ina mlima wa kupanda kama itaendelea kutegemea aina ya wachezaji kama Kai.
Binafsi hiyo kwangu ilikuwa ni umeme, wenyewe wamesema hapo faulo ni reckless na sio dangerous na akapewa yellow.Kai vipi alistahili kumaliza dakika 90?View attachment 2803998
Yaani kupoteza game Moja tusharudi chini, mnapenda kujifariji kweli...Sasa hivi mnapanda kileleni kuelekea chini ya msimamo. Aston Villa akishinda mnarudi nafasi yenu ya 4 karibu naan utd.
Sure...Nashangaa VAR ilishindwa kuona rafu mbaya ile ya KAI !!!!VAR kwa epl inabidi warudi shule, there are no qualified referees to run it
Tulia..shushia maumivu na hiyo.Leo tumeonewa hata kama tulikuwa na Mid ya Kai na Jorginho but tumeonewa goal sio halali kabisa very embarrassing very very embarrassing
Arteta katema nyongo, sijui kama hatachukuliwa hatua
Mechi ya leo sijui kwanini nakosa imani, May God Proves me wrong
Full quote to come