Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hiii mnafanya ionekane mbaya na kuumizia sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Muwe mnaandika 5-1 home, 5-1 away. Sisi ni ndugu mjue.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Halafu Masingeli anakwambia Uefa ndio kombe rahisi kubeba kuliko makombe yote.
Mc Masingeli anaichukulia Uefa kama bonanza la community shield.
 
Sote tunajua Newcastle ni timu nzuri tangu msim uliopita ila bado sijaiona Newcastle ya kuifunga Arsenal inayotegemea kuchukua ubingwa msimu huu sote tunajua hawa vijana walikutana na Manjesta utd timu mbovu iliyojichokea sana msimu huu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli utauponza ujue shauri yako.
Vipi na Westham ya kuifunga Arsenyo hukuiona?
Masingeli hizo tambo zako ndio zinatufanya sisi tuwe tunashinda humu mkishachezea kipigo.
 
Ndugu yangu Smith Rowe humu ndani watu hawapendi kuambiwa ukweli ujue, sasa hivi wataanza kukuita mamluki shauri yako.
Ukiwa shabiki wa Arsenal hautakiwi kuwa open minded, muda wote unatakiwa uwe unasifia na kupongeza tu.
 
Maadui wa mgonjwa tunaamin leo mgonjwa hawez kupata nafuu lzm aende na maji [emoji23].

Tumekuja hapa kwa mgonjwa kuweka kambi mapema tukitegemea baadae kutakua na pilau na vinywaj vya kutosha kwa ajili ya kuaga mwili wa marehemu.

Tunakutegemea Malaika mtoa roho (THE MAGPIES) usituangushe leo[emoji1488]
 
Ndugu yangu Smith Rowe humu ndani watu hawapendi kuambiwa ukweli ujue, sasa hivi wataanza kukuita mamluki shauri yako.
Ukiwa shabiki wa Arsenal hautakiwi kuwa open minded, muda wote unatakiwa uwe unasifia na kupongeza tu.
Hahahaha kuna wachache hawakubali ukweli.
 
.........................Kai

Martinel..........ode............saka

.........Trossad.........Rice

Zinny.......Gab.....Saliba......white

Tukiingia hivi leo, itakua poa Sana[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Mechi ya leo sijui kwanini nakosa imani, May God Proves me wrong
Coz umeshuhudia tukifungwa kizembe na nyukesto akishinda.

We never take our chances, nyukesto alipaki basi tukatoka suluhu akipaki tena tutahitaji shot taking iwe na % kubwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…