Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,988
nadhani sasa ataanza na pesa ya maana kumchukuwa cahil ..... i
Mshikaji tuache uongo, hata mkishinda mechi nyingine 30, hii itabakia kuwa historia na kidonda chungu...no one will ever forget the massacare at OT on August 28 2011!
hata nikifungwa mimi ni aseno na sio man uuuuu...
Manchester (city+united) 13 London (spurs +gunners) 3, matokeo ya leo nomaaa kwa jiji la London.
Poleni washabiki wenzangu ndio ukubwa huu.
Kipigo kitatusaidia huko mbeleni.
Wenger hana budi,..inabidi hajiuzulu! Hii aibu haitafutika kamwe!
Only Chelsea, the Kings of London can stop the Mancs!
Shida ya Arsenal wakuu, inamilikiwa kwa hisa na mashabiki so inakuwa ngumu kuwaunganiisha wote wakubaliane kufanya maamuzi ya muhimu na magumu kwa manufaa ya timu, ndo maana huwa nasema bora kuwa na mmiliki kama Abramovich yaani hataki ujinga!Mie nafikiri kuna haja ya kufanya maamuzi magumu,wafukuze wenger,bora kuanza upya kuliko kujenga timu kila mwaka,mwaka wa saba huu utapita bila ya kikombe.
Shangaa hata Emirates cup hatuna!mwaka wa saba huu utapita bila ya kikombe.
hivi jamani swanswea tutaweza kweli kama wachezaji wenyewe ni kina coquelin!..... kamtoa wapi yule dogo kwanza
<br /><font color="#0000CD"><b><font size="4">Only Chelsea, the Kings of London can stop the Mancs!</font> </b> </font>
There are currently 79 users browsing this thread. (45 members and 34 guests)
Haya wakuu movie imeisha sasa rudini majumbani kwenu tuzungumze mambo ya familia yetu sasa ya gunners.
- Arsene Wenger
- Katavi
- VUVUZELA
- Shakazulu
- Richard
- Companero
- Yombayomba
- Alexism
- ammah
- Kigogo
- Wacha1
- Viper
- ChiefmTz
- Edson
- Kunta Kinte
- Wandugu Masanja
- Mwalu
- sikubaliki
- isinkini
- Papizo
- Eqlypz
- Edgartz
- Kweli
- Michese
- Manda
- Rejao
- Questt+
- Fungo N.
- Mtoboasiri
- El Toro
- littleX
- maunga007
- punainen-red
- mchemsho
- mshikachuma
- kajunju
- INNOVATOR
- genekai
- J 20A
- SEBASTIAN SABAS
- kagosha
Ahahahaaah!!!