Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Manjesta kumbe yalikandwa Tena

Manjesta kakandwa halafu Arsenyau kakunwa.
Uzuri wa Manjesta hata akiwa mbovu vipi lakini mwisho wa msimu unamkuta Yuko madakoni Kwa Arsenyau.

Msimu wa 2021-2022 ulikua unamcheka na kumbeza kwelikweli Man Utd kwa kukosa clean shit
kama Arsenyau lakini mwisho wa msimu akawa nyuma yako nafasi ya 5&6 wote mkaenda kucheza Europa.

Msimu wa 2022 - 2023 pia ulikua unamkandia Man Utd kwa pira lake la papatupapatu lakini mwisho wa msimu Arsenyau kashika nafasi ya 2 mikono mitupu halafu Man Utd nafasi ya 3 na kombe lake mkononi


Msimu huu pia yatakua ni yaleyale tu, halafu kitu cha kufurahisha zaidi haya yote yanatokea wakati Man Utd yupo kwenye hali mbaya zaidi kiubora wakati Arsenyani wao wanajisifu wako kwenye peak ya ubora wao.

Masingeli nakuhakikishia msimu huu Arsenyau akitoboa top4 basi na Utd nae lazima awepo Uefa, na Utd akienda Europa jua Arsenyau hatakuwepo kwenye top4.
 
Sio kwamba hapa umekariri maisha? Je ikitokea tofauti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arteta huwa anasema ukipewa nafasi perform, kuna wachezaji wanapewa nafasi na bado hawaonyeshi kiwango.

Anaekuja kupewa lawama ni kocha, ila tujiulize! kweli kocha anastahili lawama kwenye mazingira haya!?

Na watu wanalaumu ooh Arteta hatoi game time kwa wachezaji wengine, Mfano Nelson, Trossard (as long as Martinelli is fit and Saka) sioni hao wakianza watokee bench tu.

Hata Rambo Raya will start all day anytime kwenye EPL na UEFA
 
Sio kwamba hapa umekariri maisha? Je ikitokea tofauti?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Arsenyau hii hakuna cha tofauti.
Mna timu nzuri sana kwa sasa hapo Epl lakini mna Mentality za mid-table team kuanzia kwa kocha, wachezaji, management mpaka na mashabiki wote wa Arsenyau.
Masingeli alikua anajisifu msimu huu hakuna domestic trophies mtaacha, na akajitapa kwelikweli ataanza na hio Kalagabaho cup, haya kiko wapi?
Arsenyau na Nyumbu wote tayari wameshaaga mashindano.
 
Sasa si wewe mwenyewe umetuletea humu hii quote toka kwa Arteta, iweje tena unalalamika kocha anapolaumiwa na mashabiki?

“I’m responsible for the result tonight, I’m very disappointed”

Hivi masingeli kwa nini lakini unapenda kuwachukulia kama misukule mashabiki wa Arsenyau?
 
kwani si tulikubaliana humu kua mna kikosi kipana na first eleven jezi zitarushwa juu atakae wahi ndie ataingia uwanjani?
Binafsi nikiri wazi, kuwa hatuna kikosi kipana cha kugombea makombe yote ya Uefa, EPL, carabao, FA n.k

Tunahitaji kuwa na quality ya kikosi kwenye kila namba.

Jana golikiba wetu Ramsdale pamoja na makosa ya Kiungo na Beki zetu lakini naye alituchomesha sana.

Nahisi kuwekwa Benchi kumechangia pakubwa kupunguza kiwango chake.

All in all mpira una matokeo 3, hivyo tumekubali Westham walituzidi technically
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…