Kaka kweli nyumbu na kenge huwapendi, hata nafasi ya 4 huwapi!πππKwa mwaka huu Nyumbu walitupa taulo kipindi Cha pre season
Kenge hawana ata hiko kitaulo Cha kutupa ulingoni
1. Arsenal NDOO
2. City
3. Spurs
4. ?
Newcastle, Liverpool, Brighton, Aston Villa, Fulham or westaham?
Mkuu unawapelekea moto sana wapinzani.. watakoma ubishi!πMpaka Sasa Defence ngumu kuzifungua Ni Arsenal na Mancity anafata Chelsea ,shida hawa Chelsea tatizo Lao hawafungi magoli
Shots Faced:
City - 61
Arsenal - 76
Chelsea - 91
βββββββ
Spurs - 115
Liverpool - 124
United - 145
Utaona hapo Spurs Ni moja ya timu inayoruhusu kushambuliwa Sana ,sawa na Liverpool,utofauti wao ni Liverpool ana safu Bora ya ushambuliaji
Manjesta hawa Ni timu inayoongoza kupelekewa Moto hata na watoto wadogo Kama kina Sheffield Burney hata Luton
Ili uingie kwenye mbio za ubingwa unatakiwa uwe vzr kwenye attacking na Defence
Mwaka Jana had kufikia mech ya 28 au 29 ,Arsenal tulikuwa Ni timu ya 2 kwa kuruhusu magoli machache ,kuumia kwa Saliba kuliharibu kila kitu
Spurs kufikia January had February atakuwa ametupa taulo
Nilisema hili wakati manjesta wanajiita title contender ,ilipofika February walitupa taulo
Brighton anaweza akacheza na hao Wote ndani ya siku moja na akaondoka na points 6[emoji1][emoji1]Kaka kweli nyumbu na kenge huwapendi, hata nafasi ya 4 huwapi![emoji23][emoji23][emoji119]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu unawapelekea moto sana wapinzani.. watakoma ubishi![emoji23]
Ndo mana sishangai wakijazana humu tukisuluhu.
Draw itakuwapo poa Sana au nyumbu washinde kabisa japo Ni sawa na maji kupanda mlimaLeo tupo upande gani?kwa Manchester United or Manchester City [emoji848][emoji848][emoji848]?
We jamaa Flano na pipi akikusikia...... hahahaha π€£π€£π€£π€£.Jamaa ana miaka 24....ukimchukua una uhakika wa huduma yake kwa miaka si chini ya 6....ukimpata hyu na Toney unakuwa na kikosi cha uhakika kabisa....mda wte ni kuvamia majukwaa ya watu na kuwasemea mbovu...maana unajua hata goli la offside wapinzani hawapatiπ€ π€ π€
Leo unyumbuni, si unajua adui muombee njaa.Leo tupo upande gani?kwa Manchester United or Manchester City [emoji848][emoji848][emoji848]?
Hawa jamaa wakishinda watakuja kutusumbua mtaani na JF wana kelele sanaDraw itakuwapo poa Sana au nyumbu washinde kabisa japo Ni sawa na maji kupanda mlima
Tatizo wana mdomo sana hawa Nyumbu subiri washinde wataacha thread yao wajaze page humu [emoji23][emoji23]Leo unyumbuni, si unajua adui muombee njaa.
Nyumbu acha afe tuDraw itakuwapo poa Sana au nyumbu washinde kabisa japo Ni sawa na maji kupanda mlima
YeahTatizo wana mdomo sana hawa Nyumbu subiri washinde wataacha thread yao wajaze page humu [emoji23][emoji23]
Hivi we jamaa ni arsenal fan kweli wewe?Why unaona Spurs ni suala la muda?kama unamaanisha hivi it means mwenye uhakika wa kuwa juu ni Manchester City pekee maana hata Arsenal last season alikaa top kwa 284 days akaja kuanguka mpira sio suala la kukariri
Huyo mzee wa makavu, huwa harembi.Hivi we jamaa ni arsenal fan kweli wewe?
Huyu ndio MTU mwenye Akili Uzi mzima WA Arsenal[emoji23]Hivi we jamaa ni arsenal fan kweli wewe?
Tatizo ndio Hilo watakuja humu Kama nzigeHawa jamaa wakishinda watakuja kutusumbua mtaani na JF wana kelele sana
Afe tu kudadadeki[emoji1787]Nyumbu acha afe tu