Umeona KakaNgoja tuone mkongwe
Timu iliyowatoa Jasho ,sisi tumefanya rotation ya wachezaji watano ,na mechi ikawa Kama tunafanya mazoeziBraza Kai labda apewe tena penalty ndio atafunga.
Leo naiona kabisa draw nyingine.
FOFANA ana energy kubwa Sana ,yule akija anakaa DM ,Rice LCMMe Declan Rice nilianza kumkubali baada ya kumuangalia sana YouTube. Video za YouTube zinakuonyesha best moments za mchezaji, maana yake kama mchezaji akiwa fit kile ndiyo mnachotarajia kukiona. zubimendi siyo mbaya ila Youssef fofana kwa maoni yangu ni option nzuri
Fofana ni half Partey half yaya ToureFOFANA ana energy kubwa Sana ,yule akija anakaa DM ,Rice LCM
ukuta wa Timber Magalhaes Saliba White
Hapo hupati goli hata la offside
Zubimendi nimemuangalia Sana na Arsenal walienda wiki iliyopita kumfatilia Tena
Zubimendi Ni Kiungo wa pass nyingi Sana ,pia press resistance, Zubimendi Hana tofauti Sana na Zinchenko
Na Kama tunampata Zubimendi Basi atacheza LCM ,Rice DM
Lakini mmemfatilia Charlie Patino ?dogo ameiva Sana na amesema anamtumia Saliba Kama mfano ,alipopelekwa mkopo alirudi na kuingia XI.
Patino kaiva Sana ,
Sidhani kama Arsenal hata Wana mpango na huyo Fofana...shida ndo ipo hapo...klabu itakayompata yule mwamba wata enjoyFOFANA ana energy kubwa Sana ,yule akija anakaa DM ,Rice LCM
ukuta wa Timber Magalhaes Saliba White
Hapo hupati goli hata la offside
Zubimendi nimemuangalia Sana na Arsenal walienda wiki iliyopita kumfatilia Tena
Zubimendi Ni Kiungo wa pass nyingi Sana ,pia press resistance, Zubimendi Hana tofauti Sana na Zinchenko
Na Kama tunampata Zubimendi Basi atacheza LCM ,Rice DM
Lakini mmemfatilia Charlie Patino ?dogo ameiva Sana na amesema anamtumia Saliba Kama mfano ,alipopelekwa mkopo alirudi na kuingia XI.
Patino kaiva Sana ,
Alikuwa 2nd option ya RiceSidhani kama Arsenal hata Wana mpango na huyo Fofana...shida ndo ipo hapo...klabu itakayompata yule mwamba wata enjoy
Yupo vzr ,mech ya pre season alitusumbua sanaF
Fofana ni half Partey half yaya Toure
Jamaa ana miaka 24....ukimchukua una uhakika wa huduma yake kwa miaka si chini ya 6....ukimpata hyu na Toney unakuwa na kikosi cha uhakika kabisa....mda wte ni kuvamia majukwaa ya watu na kuwasemea mbovu...maana unajua hata goli la offside wapinzani hawapati🤠🤠🤠Alikuwa 2nd option ya Rice
Tulivyocheza na Monaco pre season ,mwisho wa mechi alikuwa anaongea na Arteta
Nasikia mkataba wake upo mwishoni
Toa Georginho...uza Partey...uza Cedric...Leta hyo Fofana na Toney...Elneny abaki kusaidia mechi za makombe ya FA na Carabao...Jamaa ana miaka 24....ukimchukua una uhakika wa huduma yake kwa miaka si chini ya 6....ukimpata hyu na Toney unakuwa na kikosi cha uhakika kabisa....mda wte ni kuvamia majukwaa ya watu na kuwasemea mbovu...maana unajua hata goli la offside wapinzani hawapati🤠🤠🤠
Let's wait MkuuNaangalia mpira na kuchambua vitu vidogo vidogo
Spurs Ni moja ya timu inayoruhusu mashambulizi Sana
Hawana depth ya kikosi kipana
Kuna factors nyingi tu ninazo
Spurs walibaki na wachezaji 8 vs 11 na Liverpool na walikuwa wanashindwa kuwafungua
Sijui unanielewa?
Spurs bado hajamalizana na big 6 mancity,Chelsea ,asilimia kubwa kacheza na bottom 8 kwenda chini .
Nimekupata kiongoziTungeshinda mechi zote mbili dhidi ya City tungekuwa mabingwa, tumeanza kulifanyia kazi hilo msimu huu.
Huyo jamaa nilikua nafikiri ni mimi tu niliemuona nasemaga hivi hizi timu zetu hazioni watu wakazi kama hawa ziwalete,. Jamaa ni mtu wakazi na anajua mpiraJamaa ana miaka 24....ukimchukua una uhakika wa huduma yake kwa miaka si chini ya 6....ukimpata hyu na Toney unakuwa na kikosi cha uhakika kabisa....mda wte ni kuvamia majukwaa ya watu na kuwasemea mbovu...maana unajua hata goli la offside wapinzani hawapati
Mpaka Sasa Defence ngumu kuzifungua Ni Arsenal na Mancity anafata Chelsea ,shida hawa Chelsea tatizo Lao hawafungi magoliLet's wait Mkuu
Mashabiki wa arsenal wanawaza fujo tuJamaa ana miaka 24....ukimchukua una uhakika wa huduma yake kwa miaka si chini ya 6....ukimpata hyu na Toney unakuwa na kikosi cha uhakika kabisa....mda wte ni kuvamia majukwaa ya watu na kuwasemea mbovu...maana unajua hata goli la offside wapinzani hawapati
Nimekumbuka kauli ya Vincent Kompanykwamba Sambi Lukonga ni new Yaya ToureF
Fofana ni half Partey half yaya Toure
Kwa mwaka huu Nyumbu walitupa taulo kipindi Cha pre seasonMpaka Sasa Defence ngumu kuzifungua Ni Arsenal na Mancity anafata Chelsea ,shida hawa Chelsea tatizo Lao hawafungi magoli
Shots Faced:
City - 61
Arsenal - 76
Chelsea - 91
———————
Spurs - 115
Liverpool - 124
United - 145
Utaona hapo Spurs Ni moja ya timu inayoruhusu kushambuliwa Sana ,sawa na Liverpool,utofauti wao ni Liverpool ana safu Bora ya ushambuliaji
Manjesta hawa Ni timu inayoongoza kupelekewa Moto hata na watoto wadogo Kama kina Sheffield Burney hata Luton
Ili uingie kwenye mbio za ubingwa unatakiwa uwe vzr kwenye attacking na Defence
Mwaka Jana had kufikia mech ya 28 au 29 ,Arsenal tulikuwa Ni timu ya 2 kwa kuruhusu magoli machache ,kuumia kwa Saliba kuliharibu kila kitu
Spurs kufikia January had February atakuwa ametupa taulo
Nilisema hili wakati manjesta wanajiita title contender ,ilipofika February walitupa taulo