Huyu Wenger amewanunua akina Koscelny na Chamakh wa kazi gani? Hatutaki tena wachezaji kukamilisha idadi tu, imefika wakati anunue uzoefu hata kama ni bei mbaya, hii leo ni aibu tosha. Ndio tuna masuspension na majeruhi lakini hakuna kisingizio cha kufungwa mabao 7 hata Dar young Africa hawawezi kufungwa hivi, naamini hata swansea wakija hapa old trafford hawawezi kufungwa namna hii.
Aidha Wenger anunue sasa ama aondoke. Hakuna jinsi nyengine.