Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yule jamaa wa Nyukesto haonekani humu sasahv
...aje kuanza kuleta shombo maana wiki ijayo tunacheza nao tuone watakavyocheza bolu...leo wametolewa kamasi na Wolves halafu na yy anajiona anagombea ubingwa

Wewe week ijayo pale st james unakufa utake usitake , sasa kama wolves unaona ni watoto subiri ukutane nao.
Huo ubingwa wewe kwani unagombania
.

Wewe endelea kujiita title contender ndo taji lako hilo msimu huu.
 
Vzuri umeanza kukaza nzi mapema🤠🤠🤠...jumamosi tutaona hzo vurugu zenu mtafanyia wapi....Wolves ni watoto wadogo sana kama nyny...angalia kwny msimamo ndo utaelewa nnachokisema....kesho Aston Villa na Brighton wanawalamba gepu na Manunu nao wakikaa vzuri wanawashusha chini huko mkagombane na kina Fulham...maana hao ndo level zenu🤠🤠🤠
Wewe week ijayo pale st james unakufa utake usitake , sasa kama wolves unaona ni watoto subiri ukutane nao.
Huo ubingwa wewe kwani unagombania
.

Wewe endelea kujiita title contender ndo taji lako hilo msimu huu.
 

Piga kelele lakini jua arsenal ni chura tu lazima tembo watakunywa maji.

Yaani Arsenal na wewe unajiita mtu mzima
kama unadhani Newcastle anatoka UEFA makundi utaendelea kuomba sana lakini majibu yatakua empty.

Hao aston villa walishachezea mkono ila wewe ndo utaenda kufa maana last time ulibahatisha sasa Unai analipa kisasi .
Hizi game wewe hutoki Newcastle, Liverpool, Astonvilla, Brighton hizi zote umeshika points za watu tu.

Sawa bingwa Arsenal sisi wafukuza upepo hizi 5 ulizoshinda leo zinakupa kiburi ungejua huyo anaekupa kiburi sisi alikula chuma 8 kama zile mlizokula kipindi kile man utd yuko fiti.
Tusubiri hio jumamosi tuone nan ni mkimbiza upepo.
 
Narudia tena...nyny ni watoto wadogo sana....mnachojua ni kukimbiakimbia tu....leo mnatupwa huko nafasi ya nane mkagombane na kina Fulham huko😀😀😀...nilikuambia UEFA points 9 hufikishi na hazifiki kwli....Dortmund ataenda kukutafuna kwake na PSG atajipigia....mechi yenu na Milan Draw...unabisha ngoja uone....mchezaji Longstaff akuvukishe hatua ya makundi UEFA kwli????...yatakuwa ni maajabu kwlikwli
 
Two assists in two games now for Declan Rice, to add to his goal against Chelsea last weekend.
 
Kuongezea tu Spurs alishinda goli mbili dk za nyongeza...mpk dk ya 90 walikuwa wanaongozwa goli 1 na Hawahawa watoto...
Ishu sio kashinda magoli mangapi, suala ni quality ya timu husika, Shelfield sio timu yenye ubora wa EPL kama timu zingine, naweza kushinda goli moja ila nimetengeneza clear chances 20, ni vile my striking line ime-underperform infront ot the goal. Ukiwa mjanja unaangalia parameters mbili tu kujudge mechi hata kama hukuangalia game, XG & possession vinatosha kukuonesha timu bora ni ipi.
 
Uliangalia hiyo mechi husika nnayoizungumzia kwanza....au tutaanza kujadili theory hmu
 
Why unaona Spurs ni suala la muda?kama unamaanisha hivi it means mwenye uhakika wa kuwa juu ni Manchester City pekee maana hata Arsenal last season alikaa top kwa 284 days akaja kuanguka mpira sio suala la kukariri
Tungeshinda mechi zote mbili dhidi ya City tungekuwa mabingwa, tumeanza kulifanyia kazi hilo msimu huu.
 
Me Declan Rice nilianza kumkubali baada ya kumuangalia sana YouTube. Video za YouTube zinakuonyesha best moments za mchezaji, maana yake kama mchezaji akiwa fit kile ndiyo mnachotarajia kukiona. zubimendi siyo mbaya ila Youssef fofana kwa maoni yangu ni option nzuri
 
Why unaona Spurs ni suala la muda?kama unamaanisha hivi it means mwenye uhakika wa kuwa juu ni Manchester City pekee maana hata Arsenal last season alikaa top kwa 284 days akaja kuanguka mpira sio suala la kukariri
Naangalia mpira na kuchambua vitu vidogo vidogo

Spurs Ni moja ya timu inayoruhusu mashambulizi Sana

Hawana depth ya kikosi kipana

Kuna factors nyingi tu ninazo

Spurs walibaki na wachezaji 8 vs 11 na Liverpool na walikuwa wanashindwa kuwafungua

Sijui unanielewa?

Spurs bado hajamalizana na big 6 mancity,Chelsea ,asilimia kubwa kacheza na bottom 8 kwenda chini .
 
Ukweli ni kwamba KAI tumepigwa
Kai Jana kacheza vzr

Tatizo uelewa mdogo wa football

Kai Jana kacheza role ya Ødegaard

Mech mbili zilizopita katumika Kama CF na tuliona impact yake

Awali alicheza LCM


Toka amefika Arsenal ana average Rating ya 7

Mchezaji unayemtumia nafasi karibu 3 unasemaje Tumepigwa?


Mech na Chelsea ,Jesus na nketiha walishindwa kabisa kukabiliana na Silva na Colwill sababu Ni warefu Sana ,anaingia Kai anapokea mipira ya juu ,anampa Saka ,Saka anatupa Kross tunaondoka na point 1 unasemaje Tumepigwa ?


Mech na City anaingia Kai baada ya Nketiha kushindwa kufurukuta kwa kina Dias , Kai anawin
long balls zote ,anatoa assist kwa Martinelli tunaondoka na point 3


Unasemaje Tumepigwa ?

Mchezaji unamtumia nafasi 3 (LCM,CF na RCM) unampata wapi ,







 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…