Tumewalipia kisasiMasingeli kwa kile mlichokifanya msimu uliopita kwenye PL zimebaki mechi 8 ligi kuisha mnaongoza kwa points 8 halafu ligi inaisha mnakua mpo nyuma kwa points 8 ni bora tu ungenyamaza kwanza mpaka mfanikiwe kufuzu kwenye hatua ya makundi, hizo mechi 3 zilizobaki unaweza kufanyiwa Surprise halafu ukajipiga Ban mwenyewe kisha tukakosa kuburudika na comedy zako humu unazowapea false hopers wenzio. View attachment 2792233
Kamuulize Michael Owen ,Jana karudia maneno yangu kuwa kwasasa UCL ,Arsenal Ni miongoni mwa timu 2 au 3 fovouriteUlipaswa kumuuliza kama ni easy mpaka sasa hivi timu yake ina trophies ngapi za CL?
Ila Masingeli banaaaa sometimes hua nahisi huyu jamaa ni Haji Manara. View attachment 2792216
Wale wababe wenu jana wamekula makonzi au hawajala??...suala la kuishia makundi sisi sahau...huo sio utamaduni wetu....unabisha angalia sasahivi msimamo wa group nani yupo pale juu...nyny Sasa ndo mnatafuta nafasi ya Ueropa maana Galatasaray na Bayern Munich ndo watafuzu kwny group Lenu....mechi za Nyumbani rahisi zishaisha....kilichobaki mkajegejwe huko ugenini
Masingeli hachezi uwanjani...arsenal ndo inacheza uwanjani na tunaona bolu linavyopigwa...hata kwa Manunu sio kwmba ww ndo unacheza ila kina Amurabati kipara ngoto ndo wanacheza na tunaona namna wanavyorukaruka....Sasa sisi ya kwetu tumeyamaliza jana kwa kuonesha mfano kwa Sevilla...tunasubiri j2 tuone mna kipi cha kuionesha Dunia ndugu zetu....ila binafsi ntakuwa upande wenu kwa dhati....ninyi ni ndugu zetu wa damu kabisa🤠🤠🤠angalieni tu Masingeli asije akawaliza tena kama alivyowaliza msimu ulioisha kisha akawatelekeza mkabaki peke yenu mnamuapiza na kumlaani kwa kuwaaminisha uongo
Natamani niweke screenshot za jinsi mlivyokua mnamuapiza Masingeli humu ila naogopa jukwaa litachafuka
Masingeli punguza kuwalisha nyama ya ulimi hawa misukule wako.
Ila RvP na Ade walikuwa wajinga sana hao jamaa against us.Sasa ukipost picha ya Mudryk ndo una maana gani? Unadhani sisi tunashida na huyo dogo?
Tuna wachezaji bora zaidi ya huyu na wako benchi. Kutufunga na kupost humu haitufanyi sisi tuumie.. Tumefungwa na akina Nasri, Van Persie, Adebayor. Hizo moments ndo zilikua zikiuma lakini sio kwa huyu!
Wewe timu lako linaangamia ,angalieni tu Masingeli asije akawaliza tena kama alivyowaliza msimu ulioisha kisha akawatelekeza mkabaki peke yenu mnamuapiza na kumlaani kwa kuwaaminisha uongo
Natamani niweke screenshot za jinsi mlivyokua mnamuapiza Masingeli humu ila naogopa jukwaa litachafuka
Masingeli punguza kuwalisha nyama ya ulimi hawa misukule wako.
Michael Owen on Arsenal:
"On ability, I think they're the second or third best team in it (Champions League)!" [TNT]
Halafu bdo Timber yupo nje....akirudi kazi ipo...Zinchenko anaweza kutafutiwa pengine pa kuchezaTomiyasu alikuwa mgumu sana kumpita jana.
View attachment 2792386
Ila Sevilla walikuwa wanalazimisha sana mipira kwenda right wing na kufanya take-ons naye na sikuona hata moja waliyofanikiwa. Hata alipoingia Trossard, walikuwa wakimpita Trossard wanakutana na Tomi na Tomi hawampiti.
Huyu jamaa Jana aliupiga mwingi sanaTomiyasu alikuwa mgumu sana kumpita jana.
View attachment 2792386
Ila Sevilla walikuwa wanalazimisha sana mipira kwenda right wing na kufanya take-ons naye na sikuona hata moja waliyofanikiwa. Hata alipoingia Trossard, walikuwa wakimpita Trossard wanakutana na Tomi na Tomi hawampiti.
Zinny Ni kwa ajili ya mech za home zile za fungulia BustaHalafu bdo Timber yupo nje....akirudi kazi ipo...Zinchenko anaweza kutafutiwa pengine pa kucheza