Hili la Jorginho kuanza nililiona. Kwa kweli kumuamini Jorginho kwenye big matches kama hizi huwa nashindwa kuelewa.
Against small teams, fine! Ila sio kwenye London derby huku tukitaka kukaa juu ya msimamo.
Sawa, acha tumuamini kocha ila kiukweli unfit Partey ni bora kuliko fully fit Jorginho.
Jifunze kumheshimu Mpinzani,acha kuaminisha watu ujinga humu,hao wote ni wanaume 22 wenye miguu miwili kila mmoja,hata wale LENS uliaminisha watu ujinga mwisho wa siku tukagongwa,jifunze kumheshimu Mpinzani wako