Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Aiseee kwenye game zote izo anatoka na goli mbili tu za kufunga basi
 
Kuna mchezaji wa ligi kuu

Anajitambulisha kama ana 24.

Ila mimi niliyesoma naye nina 30.

Kuna Bondia maarufu.

Anajitambulisha kama ana miaka 26.

Ila mimi wakati nipo la 7 yeye alikua form 3.

Na mimi nina 30
 
Kuna mchezaji wa ligi kuu

Anajitambulisha kama ana 24.

Ila mimi niliyesoma naye nina 30.

Kuna Bondia maarufu.

Anajitambulisha kama ana miaka 26.

Ila mimi wakati nipo la 7 yeye alikua form 3.

Na mimi nina 30
Hii ndo inafanya madaktari wa Chelsea waonekane hawana uwezo,wanatumia dawa za watoto na vijana kutibu watu wazima
 
Ronaldo na Messi wana umri mkubwa ila majeruhi yapo mbali

Uko sahihi, hata kina Ibra wametundika viatu na 41 na hakusumbuliwa sana na majeraha.

Nadhani hapa inategemea pia ‘ntu na ntu’.
Pamoja na mambo mengine kuna issue ya vyakula, self discipline, self control nk.

Mfano, issue ya vyakula kama red meat, alcohol na cigarette vinaathiri sana uharaka wa kufanya maamuzi na sharpness ya mtu husika.

Utaona kwa Messi, Ronaldo, Ibra nk si kwamba wanaumia umia na kupona bali kuumia kwao ni kwa nadra sana. Kitendo cha kutoumia mara kwa mara huku wakicheza mechi nyingi kila msimu kina suggest kuwa wako vizuri kwny kufanya maamuzi uwanjani na kukwepa risk za kuumia.

Mchezaji kama Wilshere alikuwa mtu wa mafegi na pombe na nadhani ndicho kiliathiri career yake kwa kujikuta anakuwa injury prone, Jack alikuwa anakatiza katikati ya msitu wa watu huku kaficha mpira miguuni, kwa uchezaji huo ligi ya Epl lazima ile kwako.

Sasa kwa wachezaji ambao wamekulia afrika ambapo discipline ya msosi haipo, mtu anakula kinachopatikana na inawezekana mafegi na gambe ni kawaida tu.

Ukiongeza na ile mtu hajakulia kwenye academy afu aende ulaya kwa kupunguza miaka basi anakuwa na career fupi bila shaka sababu ya ama injuries au issue za discipline ama utapeli wa madada wa kizungu unamjaza stress anashindwa kudumu sana.
 
Kuna mchezaji wa ligi kuu

Anajitambulisha kama ana 24.

Ila mimi niliyesoma naye nina 30.

Kuna Bondia maarufu.

Anajitambulisha kama ana miaka 26.

Ila mimi wakati nipo la 7 yeye alikua form 3.

Na mimi nina 30

Daah yaan sasa huko ni michezoni ambapo atleast game inaweza kukuumbua, huku kwenye ajira especially za majeshi ambapo wana age limit ni kizaa zaa. Ukiachilia mbali vyeti feki, umri ndio balaa kabisa.
 
Have mercy on KENGE, Ata city hatukumpangia hivi, View attachment 2784186
Wewe na wahuni wenzako humu ,mtajuta kushabikia asenyeto jumamosi .
Hamtaingia humu miezi kwa aibu itakayowakuta jumamosi .
Asenyeto watoto wadogo sana ninyi , tutawatia adabu jumamosi ili mkome kabisa kutuzoea na ili iwe funzo kwa pimbi wengine watakaokutana na sisi msimu huu , naona mmekuwa viburi na mna madharau sana ninyi madogo siku hizi baada ya kuokoteza vipoint uchwara ,mmeota mapembe , jumamosi tutayakata hayo mapembe yenu , yaani tutaanza kutembeza mbata na makonzi kuanzia kwenu na tutaendelea na mwendo ni huo huo mpaka ligi inaisha ,hatucheki na kima tena .
Chelsea ni kaka mkubwa pale EPL ,sasa ninyi madogo mnaletea madharau kwa kaka mkubwa ,lazima mshikishwe adabu kikamilifu na mubashara .
 
Combine start eleven Kenge vs gunners
 
Daah yaan sasa huko ni michezoni ambapo atleast game inaweza kukuumbua, huku kwenye ajira especially za majeshi ambapo wana age limit ni kizaa zaa. Ukiachilia mbali vyeti feki, umri ndio balaa kabisa.
Tatizo kwenye hizi ajira napo utakuta mtu anapata kazi ana 32 na katika ukoo yeye ndiyo wa kwanza so inabidi arudishe nyuma umri ili aendane na mahitaji.

Its worse ila mifumo kwa Afrika haipo vizuri sana.
 

Mudryk siku hiyo msimpange, maana tunaweza tukamvunja

Safari hii mnataka mpigwe na Nani? Saka au martinel?
Huyu ndio atakayewadhalilisha siku hiyo ,na ana hasira na ninyi mno , mmekuwa mkimtukana sana .Sasa mtajua hamjui .
 

Mudryk siku hiyo msimpange, maana tunaweza tukamvunja

Safari hii mnataka mpigwe na Nani? Saka au martinel?
Wote wachovu hao , engine yenu ni Odegaard , yule Caicedo atamshughulikia ,hao wengine kilema Thomas na Mchele wa Mbeya bwana Rice tutawakabidhi kwa mapafu ya mbwa ( Ngolo Kante mpya ) Ghalladog.
Hamtoboi wala kufurukuta nakwambia , yule Saka na Martinel watakutana na wanaume visiki huko akina James na crew yake .
 
Maandishi yako yanaonesha jinsi gani unalazimisha kujiamini

Partey kasema dima aachiwe yeye. Yan kazi ya kukaba show nzima anasimamie yeye

Raya kasema yeye atacheza long balls tu

 
Hana ubavu huo ,huyo kilema ,unataka tumtoe firigisi nini ?
Unamjua kiraka Ghalladog (Ghallagher ) ?
 
Maandishi yako yanaonesha jinsi gani unalazimisha kujiamini

Partey kasema dima aachiwe yeye. Yan kazi ya kukaba show nzima anasimamie yeye

Raya kasema yeye atacheza long balls tu

Hana ubavu huo ,huyo kilema ,unataka tumtoe firigisi nini ?
Unamjua kiraka Ghalladog (Ghallagher ) ?
 
Arsenal imetangaza kazi ,Kama una sifa pita kwenye link , muhimu Sana uwe mbunifu wa social media , content ,ujue lugha ya malkia vizuri maana Kuna kuwafanyia interview wachezaji na staff

We're hiring a social media producer to join us Arsenal


You’ll be responsible for:

  • Producing content for our club channels
  • Reporting at men’s, women’s and academy matches
  • Planning/conducting interviews with players and staff

Apply here
arsn.al/GmCKbu6
 
Masingeli kazi inakufaa sana hio na pia unaimudu vizuri kabisa, haya fungua link uanze mchakato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…