Kuanzia jumamos itakuwa mwisho kukanyaga humuHao viazi tutamkadhi Ghalladog na Caicedo wawaminye mpaka waite maji mma , ni kula viatu na mbata za kutosha , hasa huyo Thomas/ kiwete mzee aliyedanganya umri
Itakuwa Safi Sana maana dharau zimezidi sanaTukipangiwa na Bayern, PSG au Barca nitawashukuru kweli UEFA
Lens Tu ,timu la ligi ya wakulima huko Madongo kuinuka Ufaransa walikufumua mbata ,uje upambane na Bayern ?Tukipangiwa na Bayern, PSG au Barca nitawashukuru kweli UEFA
Erneny ndio takataka gani ? ,Sura yenyewe inaonekana ni teja sugu lilokubuhu ,na minywele michafuMohamed Elneny:
"I cried when Arsenal asked me to stay, I want to finish my career here"View attachment 2783923
Huna ubabe wa kumfunga timu ya ovyo kama Lens Halafu unajigamba unajiita mwambaHuyo Lens uliangalia mpira ?una uhakika Lens akija Emirates ,ukiweka agregate atatoboa
Hatusemi hatufungwi ,hata Ac Milan 2007 alipigwa na Lens
Hata Madrid ya Zidane ilifungwa na Timu dhaifu ya kina Peter Banda aliyefeli Simba
Kama unajiamini, weka laki hapa lens akija Emirates anakula 3+
Eti mancity alikuwa kilema ,nimembutua Mara 2 msimu huu ,
Nyie kila siku mnasema Wana kikos kipana Leo unasema walikuwa vilema
Mashabiki wa manjesta lini mtakuwa na akili ?
Walikuwa na Rodri ,Kdb tuliwapakisha Basi wakatema bungo ,au mnajisahaulisha
Ninyi pimbi hamna ubavu wa kubeba ligi wala Uefa tena hiyo UEFA ndio msahau kabisa katika vinywa vyenu .Arsenal NDOO
FA, LIGI, UEFA
hapo tunapita na mawili, waamue wenyewe tuchukue lipi na lipi
Unajidhalilisha mkuuNinyi pimbi hamna ubavu wa kubeba ligi wala Uefa tena hiyo UEFA ndio msahau kabisa katika vinywa vyenu .
Ninyi kombe lenu li Karaghabao cup , na hiyo FA hamnusi msimu huu
Ninyi ni kama spurs Tu , gari la mkaa
Hilo ndio kombe lenu ,na msimu huu hamchukui ,kiufupi ninyi ni vibondeMwaka huu hata Carabao nilisema tunalitolea macho Tena mawili ,
Kule Carabao tuna kina Aaron Ramsdale , Trossard,Jorginho
Tuna kihunzi Westham , tukipita hiki
Tukutane fainal pale WEMBLEY kwenye Carabao
Tukimpiga Westham ,tunaingia Robo , tunacheza Emirates
Huo ndio ukweli ,sasa hutaki ?Unajidhalilisha mkuu
Usihangaike nae ,ana siku 5 atapotea hataingia humuUnajidhalilisha mkuu
Huyu asikusumbue ,vichwa maji Kama Hawa niachie ,kuanzia Next week nataka niweke kambi jukwaa Lao nitakuwepo miezi miwiliHilo ndio kombe lenu ,na msimu huu hamchukui ,kiufupi ninyi ni vibonde
Hao wote mechi rahisi kuliko zote ni kucheza dhidi ya timu mbovu kama AsenaneHuyu asikusumbue ,vichwa maji Kama Hawa niachie ,kuanzia Next week nataka niweke kambi jukwaa Lao nitakuwepo miezi miwili
Timu ipo nafasi ya 11 tutaichabanga iende nafasi ya 13
Halafu nitaanza kutembea na hii ratiba Yao mpaka nihakikishe wanashika nafasi ya 17,
Nitalikodi jukwaa Lao kwa miezi miwili
I will be there no matter what
View attachment 2784015
Naipongeza kenge fc kwa kushinda mechi mbili mfululizo kwa mara ya kwanza ndani ya miez 7 iliyopita mara ya mwisho ilikua MarchHao wote mechi rahisi kuliko zote ni kucheza dhidi ya timu mbovu kama Asenane
Ronaldo na Messi wana umri mkubwa ila majeruhi yapo mbali
Hiyo jersey ninayo ni ya msimu wa 2011/12. Maana yake hapo alikuwa na 18yrs, watu wa West Africa huwa na maumbo makubwa ni sawa lakini ukitazama face yake inasuggest umri juu ya huo.
Inawezekana kabisa hata kina Arteta wamebaini hilo ndio maana pamoja na umuhimu wake bado unaona wanataka kumuachia.
Kama kweli yuko atleast 2yrs above current age ni ngumu kuepuka majeruhi ya mara kwa mara kwa level ya intensity ya mazoezi na mechi pamoja na high demands za kocha uwanjani. Labda ndio sababu pia Arteta anampa club doctor hata kwenye international duties.
Ndio maana, mara nyingi me huwa ni mzito sana kuquestion maamuzi ya watu ambao ni full time professionals (Arteta et al) na wanafanya kazi week in week out na hawa watu.
Kuna a lot of details ambazo ni undisclosed zinazo tumika kufikia maamuzi husika, sisi kama mashabiki mara nyingi tunaona mechi live na picha za mazoezini ila mengi ya ndani hatuna taarifa za kutosha.
Unasema?????Huyu asikusumbue ,vichwa maji Kama Hawa niachie ,kuanzia Next week nataka niweke kambi jukwaa Lao nitakuwepo miezi miwili
Timu ipo nafasi ya 11 tutaichabanga iende nafasi ya 13
Halafu nitaanza kutembea na hii ratiba Yao mpaka nihakikishe wanashika nafasi ya 17,
Nitalikodi jukwaa Lao kwa miezi miwili
I will be there no matter what
View attachment 2784015
umekosa kaziHuyu asikusumbue ,vichwa maji Kama Hawa niachie ,kuanzia Next week nataka niweke kambi jukwaa Lao nitakuwepo miezi miwili
Timu ipo nafasi ya 11 tutaichabanga iende nafasi ya 13
Halafu nitaanza kutembea na hii ratiba Yao mpaka nihakikishe wanashika nafasi ya 17,
Nitalikodi jukwaa Lao kwa miezi miwili
I will be there no matter what
View attachment 2784015
Kwny hii ratiba ataambulia point 4 tu akijitahidi ila akikaa vbaya atapata point 1 nayo ni dhidi ya Brentford🤠🤠🤠....Man U hawatakubali kudhalilishwa pale OTHuyu asikusumbue ,vichwa maji Kama Hawa niachie ,kuanzia Next week nataka niweke kambi jukwaa Lao nitakuwepo miezi miwili
Timu ipo nafasi ya 11 tutaichabanga iende nafasi ya 13
Halafu nitaanza kutembea na hii ratiba Yao mpaka nihakikishe wanashika nafasi ya 17,
Nitalikodi jukwaa Lao kwa miezi miwili
I will be there no matter what
View attachment 2784015