Hahahah hyo sura ya saliba ni ya kazi kweli kweliWilliam Saliba and Gabriel cost combined fees of only £48m
Best CB partnership in the Premier League.x
View attachment 2780597
Hivi ishu ya arsenal kumtaka olmo ni kweli??Hahahah hyo sura ya saliba ni ya kazi kweli kweli
Olmo anaenda Barcelona ,mancity na Arsenal wanahusishwa tu,Hivi ishu ya arsenal kumtaka olmo ni kweli??
Ahaa poa mzeeOlmo anaenda Barcelona ,mancity na Arsenal wanahusishwa tu,


Kifuatacho Sasa Arsenal watawekeza zaidi kwenye RW na CF ,then watarudi kutafuta LCM mwenye kariba ya DM, sababu Partey na Jorginho wapo mwishoniAhaa poa mzee
"About time this guy got humbled."
"He'll be cringing himself watching this back."
"All that aura he built up gone in an instant."
"He'll be cringing himself watching this back."
"All that aura he built up gone in an instant."
Huyu Mshika Bunduki kwelikweli.Definition of a true gunner
️
Arteta akisherehekea dhidi ya Arsenal VS Arteta akisherehekea dhidi ya Manchester City
Arteta was always a gunner️View attachment 2780003
Auzwe nani na nani...Nketiah na Cedric panga lao linanolewa...ila naona na Partey naye msimu ujao hatutakuwa naye atauzwa tuKifuatacho Sasa Arsenal watawekeza zaidi kwenye RW na CF ,then watarudi kutafuta LCM mwenye kariba ya DM, sababu Partey na Jorginho wapo mwishoni
Bado tunahitaji pia a natural RCB, Dirisha kubwa tulituma ofa kwa Sporting Lisbon ya €35m kumpata Osmane Diomande ,ana miaka 19 Ni upcoming CB mwenye uwezo Kariba ya Saliba
Sporting Lisbon walikataa , now wanataka wamuongezee mkataba waweke release clause ya €80m
Kama tutawahi tunaweza kumpata kwa €40-45m
But kipaumbele kwa Sasa ni CF na RW
Lakin tunahitaji kuuza pia
Partey wangemuacha japo kwa seasons 2.Auzwe nani na nani...Nketiah na Cedric panga lao linanolewa...ila naona na Partey naye msimu ujao hatutakuwa naye atauzwa tu
Nketiah ,Partey nimeona Smith Rowe anatakiwa na Newcastle ,chini ya £60m hauzwiAuzwe nani na nani...Nketiah na Cedric panga lao linanolewa...ila naona na Partey naye msimu ujao hatutakuwa naye atauzwa tu
Kwa sasa Saka ana mabao manne na asisti mbili kwenye Premier League.
Balogun ana mabao matatu na asisti moja kwenye Ligue One.


arsenal just managed to win 1 and shouting as if they win CHAMPIONS LEAGUE small team mentality

arsenal is the only small team that pep Guardiola always destroy mercilessly



"Tupo mahali pazuri zaidi kuliko hapo awali, najiona nipo kwenye timu sasa, kama shabiki siongei kama mchezaji, naona timu inapambana, inafanya makosa ambayo yanaweza kutokea.
Miaka 5 iliyopita sikuweza kuhusiana na timu, sikuweza tu.
Nilikuwa nikienda kwenye mchezo kwa sababu ilinilazimu si kwa sababu nilitaka. Kwa sababu tu nilikuwa shabiki wa Arsenal sio kwa sababu nilitaka kuwaona wakicheza. Lakini sasa ninaweza kuona wanachokifanya.
Nina heshima kwa kile Mikel amefanya."Ilikuwa ni UZUZU kumuuza huyu dogo na kubaki na kina Nketiah na Harvert,huyu ni ASSETS,miaka miwili ijayo atakuja kuwa ghali tutabaki kujisonya kwa kumuuzaFolarin Balogun amefichua kuwa ame bet na Bukayo Saka kuhusu nani atapata namba bora zaidi msimu huu.
Kwa sasa Saka ana mabao manne na asisti mbili kwenye Premier League.
Balogun ana mabao matatu na asisti moja kwenye Ligue One.
Nimeipenda hii.View attachment 2781039