Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna picha yupo na mdogo wake, wamevaa uzi wa ufaransa wa mwaka 98.
 
Arsenal walikasirishwa na kuvuja kwa taarifa za kikosi (kinachoanza) wiki za nyuma hivyo Saka alisafiri na timu (kwenye mchezo wa Man City) kama geresha.

Hakuwa tayari wala karibu kucheza mchezo huo alisafiri ili kuona taarifa zitavuja kwa kiasi gani.

Arsenal pia waliwaambia England kuwa Saka atacheza mechi moja (ili aitwe) kutokana na Ghana kuvujisha taarifa za majeruhi ya Partey ndio maana Saka akaitwa kufanyiwa tathmini na madaktari wa timu ya taifa ya Uingereza wenyewe.

@leakedlineups

#coyg
 
REMINDER;

Tafuta mchezaji yeyote kwenye kikosi unayemkubali sana halafu kuwa mwanasheria wake mtetee against agenda zozote usikubali asemwe vibaya kila game tafuta comp za mazuri yake tu achana na mabaya.


Usikae kizembe
 
Masingeli banaaa kwa kua wewe binafsi unamkubali Kai Harvez basi unatafuta uhalali wa kumtetea kwa njia yoyote na kuwaaminisha mashabiki ili nao wamkubali.
Mchezaji akiwa mzuri wala haina haja ya kutumia nguvu nyingi kumtetea, atajitetea mwenyewe uwanjani kwa kuwaprove wrong wote wanaomkosoa.
Hata ukija na matakwimu yako uchwara ya Aerial duel, Interchange, flexibility na pressing Kai bado ni mzigo na ataendelea kua mzigo kwenye timu yenu.
Kai ni kama fenesi tu, ukiliweka ndani hata ufukize kwa marashi ya kila aina bado litaendelea kunuka tu ndani ya nyumba.
 
Sijamuaminisha mtu aisee

Kai ana goli 1 na assist 1


Mount ana goli 0 assist 0

Rashford ana goli 1 na assist 1
 
Achana na long ball aliyopiga partey
Achana na harder ya tomiyasu kwa Kai
Achana na goal la martinel

Angalia ile pass aliyotuliziwa martinel kwa umakini

Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • VID-20231009-WA0004.mp4
    3.4 MB
Gabriel Jesus:

“Nina majukumu mengi Arsenal. Nilipochagua kuhama kutoka City kwenda Arsenal, Edu na Arteta walizungumza nami na niliweka wazi kwamba ningependa kucheza 9. Lilikuwa wazo la Arsenal, mimi kucheza 9.

Msimu huu umekuwa tofauti, tumekuwa na majeruhi na katika michezo michache iliyopita nilicheza katika nafasi zote tatu za mbele.

Kwa muda nilifikiri nilitaka tu kucheza 9, lakini niko hapa kusaidia timu. Nimebarikiwa na Mungu kuwa na kipaji hiki na uwezo wa kucheza nafasi zote tatu za mbele. Napendelea kutochagua. »
 
I have no evidence for this but I’m pretty sure this was Arteta’s plan for the UCL KOs and big PL games at Etihad/Anfield:

Tomi-Saliba-Gab-Timber
Partey - Rice

Rock solid.

Tomiyasu & Timber having the ability to switch sides depending on where we want to invert is so good.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…