Ww na nyukesto yako mmebeba lini😀😀...rudi tena kwny msimamo kaangalie pale kigenge chako kiko nafasi ya ngapi na wale wanaume walokuwa wanapambana jana wako nafasi ya ngapi....pundits wakubwa kabisa wanakuambia Arsenal ni among Title favourites halafu ww mlugaluga wa Nanyamba huko unakuja kutuletea habari za sijui miaka 20 sijui miaka 80....kwni hao City kabla ya kubeba na Mancini kombe la EPL walikuwa wamebeba kombe mara ya mwsho lini...Guardiola kacheza UEFA miaka mingapi na City ndo wakaja kuchukua msimu huu...ina maana miaka yte walikuwa kuna sehemu wanakosea wamerekebisha wamebeba ndoo...sisi tumepoteza mwaka jana mwaka huu mechi nane tupo tyri pale juu....sasa tusiwe na hype kwmba mwaka huu tunaweza kufanya vzuri kisa mwaka jana tulibugi...mpira wa wapi huo😀😀...nyny endeleeni kuvutana na Manunu huko chini hzi anga za huku juu waachieni watu wazima....nyny bdo ni watoto wadogo sanaYaani watu kumfunga man city washatoa na kauli kwamba kati ya makombe mepesi kubeba ni UEFA.
Kauli hii imetolewa baada ya ushindi wa game ya 8 kati ya 38, mtu anayesema UEFA ni kombe jepesi kubeba timu yake haijabeba kombe hilo kwa miaka 80+ na EPL miaka 20+.
False hopes hazitaisha mpaka ukamilifu wa dahari.
Unaumia ukiwa wapi ewe nyumbu?You wish. Mechi nane mmejitangazia na ubingwa tayari
Wote tunajua script ya Arsenal mwisho wa msimu ni vilio tu😂Ww na nyukesto yako mmebeba lini😀😀...rudi tena kwny msimamo kaangalie pale kigenge chako kiko nafasi ya ngapi na wale wanaume walokuwa wanapambana jana wako nafasi ya ngapi....pundits wakubwa kabisa wanakuambia Arsenal ni among Title favourites halafu ww mlugaluga wa Nanyamba huko unakuja kutuletea habari za sijui miaka 20 sijui miaka 80....kwni hao City kabla ya kubeba na Mancini kombe la EPL walikuwa wamebeba kombe mara ya mwsho lini...Guardiola kacheza UEFA miaka mingapi na City ndo wakaja kuchukua msimu huu...ina maana miaka yte walikuwa kuna sehemu wanakosea wamerekebisha wamebeba ndoo...sisi tumepoteza mwaka jana mwaka huu mechi nane tupo tyri pale juu....sasa tusiwe na hype kwmba mwaka huu tunaweza kufanya vzuri kisa mwaka jana tulibugi...mpira wa wapi huo😀😀...nyny endeleeni kuvutana na Manunu huko chini hzi anga za huku juu waachieni watu wazima....nyny bdo ni watoto wadogo sana
Kai havertz sio LCM, at lcm tutamtukana kama tunavyofanya, Havertz ni CF, moja ya kitu kilichofanya tusuesue toka mwanzo wa msimu ni Mikel Arteta kufeli kubalance hizi attacking dynamics. Havertz kwenye LCM ni bora tumrudishe Xhaka January.Kai atakuwa anacheza CF au LCM pale panapohitajika
Timu ikiwa fit ,Kai atasubiri bench kupokezana na Jesus
Kikosi kikiwa full kabisa our Midfield Ni Partey Ødegaard na RiceKai havertz sio LCM, at lcm tutamtukana kama tunavyofanya, Havertz ni CF, moja ya kitu kilichofanya tusuesue toka mwanzo wa msimu ni Mikel Arteta kufeli kubalance hizi attacking dynamics. Havertz kwenye LCM ni bora tumrudishe Xhaka January.
Wewe na manjesta Msimu huu mnatakiwa mtuchangie points 12Munamuotea man shitye mchovu ngoja mukutane an ukuni wa Enzo na Caicedo mulambe lolo
After international break inabidi tukupige hata 5-0 kwako ili uwe na adabuNyie kondoo ndio kwanza mechi y 8, punguzeni matarajio. Mtaumwa kisukar mwisho wa msimu.
Olashoga mama la kihindiMunamuotea man shitye mchovu ngoja mukutane an ukuni wa Enzo na Caicedo mulambe lolo