Arsenal (The Gunners) | Special Thread

huyo demu angevaa jezi ya nyumbu ingekua poa sana
Si unajua kama ukizinatia ki 'pisi pisi', Mamacita ni wa kawaida/mbovu afu ana gubu ndiyo maana kumla mpaka tukose option na ikibida sana kama jana. Ila Manyumbu ni pisi kali hatuishiwi hamu ya kuila. Cheki hiyo picha jamaa aliyopost ya huyo wa Mamacita afu cheki na hii ya manymbu ambayo ndiyo tunaila deile
 
Ufungwe mechi 4 kati ya 8 za kwanza then uwe top of the table labda labda league one
 
Kai namuona apambanie CF, namuona ana sifa nyingi za kucheza hapo kwa soka la kisasa ,

Nketiah huu utakuwa Msimu wake wa mwisho, Arsenal dirisha lijalo wanaingia kusaka CF wa maana ,

Jesus atakuwa anacheza CF na pembeni

Nketiah ameshapewa nafasi ,soon anaachwa ,Tumeona kwa Aaron Rams,kaletewa Raya

White kila mechi anakupa rating ya 7 kaletewa Timber ambaye anatishia nafasi ya Zinny pia

Kai as CF tutafaidika Sana tofaut na Nketiha
 
Jamani nipo naangalia goli letu hapa mara kumikumi, na namna kina Saliba wanavyoshangilia 😁. Raha thaana
 
Mkuu naona umemkatia tamaa kijana wako
 
Yes, kama kuna second runner wa kumtumia, sawa, hasa kwa mipira ya juu na move ihakikishe tunasona mbele. Ila shida ni hatusongi, tunarudi nyuma tena hadi kwa Raya mara zingine. Sifurahii kuwa jamaa hawezi au hataki kugeuka na kushambulia tukipata mpira, siyo ya juu wala ya chini. Naona kama anatucost moves nyingi (nadhani kuna mara moja Arteta aliongelea instance kwenye game ambayo Kai alirudisha mpira nyuma na alikuwa na nafasi ya kutusogeza mbele).

Kai amtafute Nafisa Ahmed ampe tips. Ni shabiki wetu huyu demu na pia ana bonge la left foot, ampe pia na shooting tips. Mcheki hapa kidogo
Your browser is not able to display this video.
 
Iyo Turn ya kwanza anazipiga sana Rice jana kapiga moja hadi nikaogopa kapiga uku kazungukwa na wachezaji wawili alf muda uo karud kuchukua mpira chini kabisa
 
Mimi niliamini Kai anakuja kucheza nafasi ya Xhaka. Tukianza kumuweka kama CF, yatakirudia yale yale ya Giroud. Tofauti ni Giroud alikuwa anaiwezea hiyo nafasi na ana maguvu ya kutosha. Anaweza kuhold na kutoa pasi kwa runner, anaweza kupiga vichenga vya kishikaji kujitenenezea nafasi, anashoot mara nyingi na kupata hata magoli machache, pia anahakikisha kafika kwenye box kumalizia cross hata kama hakuwa na mbio na wenxake walikuwa wanamtafuta kumpa pasi. Sioni KAI akiwa na mchango kama wa Giroud for a slow, tall CF. Ila tuendelee kumuombea mema maana ndiyo hivyo, tuko nae
 
Iyo Turn ya kwanza anazipiga sana Rice jana kapiga moja hadi nikaogopa kapiga uku kazungukwa na wachezaji wawili alf muda uo karud kuchukua mpira chini kabisa
Kwa mchezaji hata wa mchangani Temeke hizo ni basic turns sana ila ni effective. Sijui kwa nini vitu hivi sivioni kwa Kai
 
Chogo wetu alikuwa mtu mbado sana, nakumbuka ile mechi tunamkanda Manjesta 3-1 walilala na viatu wale.
 
Kai atakuwa anacheza CF au LCM pale panapohitajika

Timu ikiwa fit ,Kai atasubiri bench kupokezana na Jesus
 
Sio kwamba kwasababu tumeshinda ndo tumevungia madudu ya officials, hapana. Walifanya hovyo jana Kovacic kubaki uwanjani.

Anyway kama tulivosema hiki kikombe ni cha wote, hujui ni siku gani timu yako itakumbana na uzembe wa officials.
Uzembe ni yale yaliyowakuta Kuku, sisi kilichotutokea jana siyo uzembe bali ni jitihada za makusudi kabisa za officials kutudhulumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…