Mkuu mi nimekutangulia kidogo...mm kipindi yupo Anelka na Mark Overmars pale arsenal ndo nikaanza kushabikia...baadae anakuja Nwanko Kanu then Titi(thiery Henry)...tumetoka na hii timu mbali sanaHuyu mshenzi ndiyo alifanya nikaanza kuishabikia Arsenal
Thierry henry fundi sana huyu....
Bwna mdogo ananikumbusha ukatili wa Martin Keown...enzi hzo anacheza na Tony Adams(Mr Captain) pale nyumaKwa fikra za kawaida tunadhani ya kwamba sehemu zinalindwa zaidi duniani ni Benki,Ikulu,kambi za jeshi na Bungeni labda kwa sababu ya kuwepo viongozi wakubwa wa taifa au hela zinazopatikana Benki hizo.
Hapana unakosea ngoja nikujuze sehemu ambayo inalindwa zaidi duniani ni ni NYAVU ZA KWENYE GOLI LA ARSENALI
Sehemu hii ni hatari zaidi duniani ambazo ukifika sehemu hizo kama siyo mhusika lazima uuwawe!.Sehemu hii ina ulinzi wa hali ya juu sana.
Ulinzi huo unaongzwa na
Jenerali WILLIAM ALAIN ANDRÉ SALIBA na
Luteni Jenerali GABRIEL DOS SANTOS MAGALHÃES
Wakisaidiwa na Makanali wao BEN WHITE, ZINCHENKO na DAVID RAYA
View attachment 2776105
Umekuja...nyie wnye positive hopes leo mmecheza au hamjacheza
Punguza kulialia basi mkuu😂Tumecheza vipi kwani tumefungwa?
Ndani ya week 1 tumecheza na mabingwa 4 mbalimbali na still hatukufungwa na yoyote yule.
Burnley(championship), PSG(Ligue1) westham (Europa conference) & man city( UEFA champions).
Wewe piga kelele now tunahifadhi hapa hizi hopes mwisho wa siku tutawakumbusha why tunawaita false hopers.
Halafu mko nafasi ya ngapi vile...pamoja na Manunu kucheza hivyo msimu huu ila mnafatana nao kwny msimamo...hivi mpo serious kwli ndugu zetu
Usijidanganye sana Arsenal ya msimu huu kuna utofauti ukilinganisha na msimu uliopita kuanzia squad depth na upambanaji na bado tutasajili tena january aisee msimu huu tutaona mafanikio Zaidi.Nyinyi mlikaa nafasi ya kwanza siku 258 still mkachoma sasa game ya 8 hii nan mtamtisha? Ivi serious kabisa unaamini arsenal anabeba epl si ukichaa huo.
Team pekee ya kuogopa endapo ikikaa kileleni ni liverpool tu nyie ni tembo tu juu ya mti , asilimia za kudondoka juu ya mti ni 99.99 % hakuna narudia tena hakuna mtu ana wasiwasi na arsenal kukaa kileleni hapo .View attachment 2776111
Mlichoma huku game zimebaki 8 , saivi ndo tuwaogope kweli ?Arsenal ni Arsenal tu wauza matikiti hawa hawana pumzi
Ukianza kutajiwa wachezaji Sasa...unaambiwa sijui tuna Almiron...sijui Gordon...sijui Gimaraes...mara tuna forward Kali....njoo kwny msimamo Sasa....ukicheki unaona wao na Manunu Wana tofauti ya point 1...unachoka kabisa
Hili pimbi tunalifanyaje?Arsenal akitufunga naacha kutumia jf mazima ,najitoa kabisa 😂
Usijidanganye sana Arsenal ya msimu huu kuna utofauti ukilinganisha na msimu uliopita kuanzia squad depth na upambanaji na bado tutasajili tena january aisee msimu huu tutaona mafanikio Zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaanza kuniuliza kama mmefungwa??😆😆...kwmba mmecheza na mabingwa wanne ukijumlisha na Burnley....mi sijui matokeo yenu mkuu labda unambie ww.....safari hii tukikaa pale juu msahau 😀😀....halafu sijui tunakutana lini na hiki kigenge chako...tuone siku hyo kina Gordon na almiron wanavyopiga bolu...nasubiri kwa hamu sana...msimamo ulivyo sasa wa kwny ligi piga picha kabisa maana ndo kanafasi mtakakomaliza nako ligi ikiishaTumecheza vipi kwani tumefungwa?
Ndani ya week 1 tumecheza na mabingwa 4 mbalimbali na still hatukufungwa na yoyote yule.
Burnley(championship), PSG(Ligue1) westham (Europa conference) & man city( UEFA champions).
Wewe piga kelele now tunahifadhi hapa hizi hopes mwisho wa siku tutawakumbusha why tunawaita false hopers.
Kwni tuna point ngapi mpk sasa na tuko nafasi ya ngapi...halafu na nyny wacheza mpira wa kikatili mko nafasi ya ngapi...na mnatarajia nn msimu huu...huku kwny ligi shughuli yenu ishaisha....bdo UEFA mpishe nafasi za watu😀😀At the end itajulikana nan anajidanganya, msimu uliopita mpaka sasa hukuwa na draw wala loss.
Leo man city hakuna anayelalamika wamekubali matokeo japo wamewakosa key players (KDB & Rodri) lakini nyinyi sasa mtapata injury moja tu ya saliba mtapiga kelele oooh angekuwepo huyu tungechukua ubingwa visingizio kibao.
TUKUBALIANE KABISA INJURIES ISIWE EXCUSE YA KUKOSA UBINGWA. ( SAVE THIS MPAKA MAY)
Na kwny hzo timu tatu kuna moja alichezeshewa kikosi cha kwanza mwanzo mwsho bila ya kufanyiwa sub yyte....na matokeo yanajulikana....halafu mechi nyngne alifungwa na timu ipo pungufu kwa dakika karibu 60 za mchezo....na hao jamaa hawakuwa mabingwa wala nn...na hao wengine walowafunga.....walichokifanya walificha mpira tu....tukawa tunaona Isack anazungukazunguka tu kule mbele😀😀....sasa ku summarise hzo mechi 3 kqfungwa na Bingwa mmoja na hawa wengine walomtungua sio mabingwa ni wa kawaida sanaMpaka muda huu newcastle kapoteza games 3.
Arsenal hajapoteza.
Bado unajisumbua kumuelewesha huyu mtu kwamba in term of quality na tactics newcastle ni westham yenye hela
Isack....sijui Almiron sijui Gordon....gimaraes wamewafikisha nafasi ya ngapi mpk sasa😀😀...au tuwape mechi ngapi ili mtoke huko Madongo kuporomoka maana mlisema mmeanza ligi na mechi ngumu sana....narudia tena...nyny bdo ni vjana wsdogo sana....tofauti yenu nyny ni manunu ni kwmba nyny mna mzuka wa kukimbia zaidi kuliko wao ika kiuwezo hamna tofauti nao....unabisha nenda kacheki msimamo wa ligi muone mnavyokokotana😀😀😀Yaani ushindi wa leo umewapumbaza sana yaani ni kama ile game na man utd mkajitangaza ni mabingwa tayari kwa game 19.
Huwezi amini kuna mtu kutokana na ushindi huu kashatangaza kabisa hakuna kombe jepesi kama UEFAView attachment 2776131
Kombe ambalo team haijawahi kubeba ila watu kumfunga man city game ya 8 washaona kuwa hata UEFA ni kombe jepesi ila pep anakiri UEFA ndo kombe gumu zaidi kushinda .
Kuhusu forward ya Newcastle hilo halipingiki nan kamzidi isak magolli nitafutie muuza matikiti mmoja tu aliyemzidi isak?
Mpaka muda huu newcastle kapoteza games 3.
Arsenal hajapoteza.
Bado unajisumbua kumuelewesha huyu mtu kwamba in term of quality na tactics newcastle ni westham yenye hela
Tulieni msitoboe siri ..hizi ni siri za ndani ya familia.Usijidanganye sana Arsenal ya msimu huu kuna utofauti ukilinganisha na msimu uliopita kuanzia squad depth na upambanaji na bado tutasajili tena january aisee msimu huu tutaona mafanikio Zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app