Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyo unapoteza MB hata kujadiliana nae ,Sasa Newcastle kweli hata top 6 hawez kuingia ,
Aje tu tuzungumze kiume...maana ana shombo sana bwana mdgo...kelele nyingiii...alitusema sana sisi tulivyo draw na West Ham season ilopita...Sasa yy leo sijui ameshinda au vp🤠🤠🤠...nilimwambia na ntamwambia tena..hata UEFA ni suala la muda tu....kauli zitabadilika mechi zikiwa zinaenda mwshoni...ameshikilia nafasi za watu kwa mda
 
Sio kupaki basi na kaunta Tena?
Kucheza kwa kumvizia city haikubaliki ,nenda nae toe to toe ,ili uweze kupiga kina manjesta , Chelsea ,n.k


Leo tumegawana vipindi hata Pep kasema leo tumewafunga kwa kuwazidi ,na hiki kitu mm ndio nilikuwa nataman ,kifupi nachukia Sana mpira wa janjajanja


Pep Guardiola:

“Two years ago and last season, they [Arsenal] controlled more of the game and we won…”
 
Leo tumecheza kwa nidhamu sana. Mistakes zilikuwepo ila ndo part ya mchezo.

Game ya Chelsea nikiwaona nyuma wako Saliba na Gabriel baasi najua kazi imeisha.

Either Arsenal ashinde au Chelsea afungwe!
 
Mm nataka siku itokee tuwa dominate na kuwafunga convincingly hapo ndo ntasema Sasa tumewiva kwa Hawa Mabraza...vngnevyo so far tukikutana nao tuwe na game plan nzuri tu...tutaendelea kupata matokeo
 
Sisi tumewaonea huruma tu ,ndio maana Ake kajifunga ,team tunaligonga nje ndani game Zaidi ya 14 ,mpaka tulikuwa tunajiuliza hii Arsenal Ni football club au night club?
Tunaomba utimize ahadi braza...ugumu uko wapi kwani
 
Nimepanda sana Ile double pivot ya Rice na Partey.......Rice anabaki chini Partey anacheza juu yake.....Ile long ball aliyopiga Partey akiwa juu ikaenda kwa Tomiyasu nae kapiga kichwa kwa Kai (hapa niweke wazi...Kai Ni mzuri kwenye long balls)...Kai anafanya set up nzuri kwa Gabi then goaaaaaaal
 
Ndio Maana sipend Nketiah kumuona kwenye hii timu

Pia sipend kumuona Kai as LCM

Kurejea kwa Partey ,means our Midfield Ni Partey Ødegaard na Rice

Napenda kumuona Kai as CF, anakusaidia vitu Kama hivo ,

Nketiah Ni mzururaji ,Arsenal wanarud sokon kusaka CF ,

Kwasasa Hakuna huruma


White ameletewa Jurrien Timber

Rams kaletewa Raya

Nketiah ni muda Sasa umefika atupishe
 
Rice hata mm Kani prove wrong ,sikuwahi kumuelewa pale Westham maana walikuwa wanacheza Haram football
Alivyokua westaham sikumfatilia Sana

Tulipo msajiri, ilibidi niende kumchungulia u-tube
Nilimuangalia hasa hasa kwenye
Interceptions
Tackling
Driving force yake
mazingira anayopokea mipira na mazingira anapo achia mipira
Aerial duels

Nikaja humu humu kusema rice ni MAFIA na MKATILI
Kwa upande wangu anachofanya rice kwangu Mimi sio surprise hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…