Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Manu goalkeeper ni mbovu tena sana hapo watachemsha msimu huu hakuna suala, timu inayoonekana mwaka huu ni Liverpool na Manchester City ndizo zilizofanya vizuri
 
kuna ashabiki wa aseno hapa uwanjani wameshaanza kumwabia wenger aiondoke....
 
we katavi kafunga walcot..shuti la mbali likapita tobo
 
Manu goalkeeper ni mbovu tena sana hapo watachemsha msimu huu hakuna suala, timu inayoonekana mwaka huu ni Liverpool na Manchester City ndizo zilizofanya vizuri
Arseno umesahau..watakuwa mabingwa mwaka uu..
 
Heshima mbele wakuu, Mbu, Kunta, Manda, Richard, Balantanda, Wenge Musica na wengine, sina hiyana nanyi, nawajua nyie waungwana...Miye

Usongo ninao na Almoontazir Almunia Wacha..bingwa wa kelele mingi....je kwasaWacha umejificha wapi leo? Au bado uko kanisani ukiomba? Maana hata kama ulikwenda MSikitini au ndio wapata futari...ni kilio....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…