Huwezi kua km gagulo kwamba juu wazi na chini wazi. Chagua moja"we stand behind Isael" means zincheko anasuuport islael ,
Mim namsupport zincheko ,vile vile namsupport Palestine,endelea kuchanganyikiwa
zinchenko alisemaje?Kutokana na ile comment ya Zinchenko inawezekana leo asicheze
Walificha picha za nini sasa za Training?[emoji599]Full Arsenal XI: Crazy Team[emoji15]
David Raya (GK), William Saliba, Ben White, Gabriel Magalhães, Oleksandr Zinchenko, Martin Odegaard (C), Jorginho, Declan Rice, Gabriel Jesus, Eddie Nketiah, Leandro Trossard.
Nketia kaanza...?z.. tushakufa hii game.[emoji599]Full Arsenal XI: Crazy Team[emoji15]
David Raya (GK), William Saliba, Ben White, Gabriel Magalhães, Oleksandr Zinchenko, Martin Odegaard (C), Jorginho, Declan Rice, Gabriel Jesus, Eddie Nketiah, Leandro Trossard.
I stand with Israelzinchenko alisemaje?
Arteta ni mngeseee sanaaArteta ni boya sana..
Kwahiyo zile mbwembwe zote ndo maana yake nini?
Halafu kati anaanzaje Jorginho na Partey yupo?
Dah! Ukocha kazi kweli kweli!
Tulia mpikwe kwanza kijana.Nketia kaanza...?z.. tushakufa hii game.
Nadhani jamaa atakuwa hana fitnessArteta ni boya sana..
Kwahiyo zile mbwembwe zote ndo maana yake nini?
Halafu kati anaanzaje Jorginho na Partey yupo?
Dah! Ukocha kazi kweli kweli!
Partey yupo jorginho wa nnJorginho sio mkabaji wakuu.. Tutaaibika pale kati.
Okay mkuuLeo na huyu Jorginho wenu sijui Nketiah mtajua hamjui.
Yan sisi tuko na watu nje lkn hamtufungi hii game tunawapasua.